Wakaka ambao bado hatujaoa njooni tukubaliane kitu

Wakaka ambao bado hatujaoa njooni tukubaliane kitu

Mkuu hapa nilipo nimepanga kwa tajiri sana ana ya kutosha kutumia miaka 50+ ijayo bila shida, lakin mke anapigwa kama kawa na ugomvi ndani hauishi tena kibaya zaidi anahonga kwa pesa za mumewe, h

Mkuu hujui uzuri wa joto la mke, kaa kimya kwanza.
ko untaka kusema mini apo
 
Malezi ya kitanzania yamejisahau sana kuanzia ngazi ya familia. watoto wa kike hawajui ama wamepuuza majukumu yao.
hali hii huibeba hata ukubwani na huingia nayo kwenye ndoa,hivyo kubadilika sio rahisi.

Wanaume wa kibongo ni kama tumekariri vile kwamba kuoa ni hapahapa nyumbani(TANZANIA) sasa tumeshaisoma hali halisi hapa nyumbani, je ni lazima uoe hapa nyumbani?

Jibu ni hapana. Kuna nchi hapa afrika na hata nje ya bara la Africa kuna mabinti wazuri tu tena wanajiheshimu na kujua thamani ya ndoa tena wengi wamejitunza bado.

Mi naona hapa kama nyumbani kwako chumvi imeisha basi kaombe kwa jirani,wanaume tuvuke boda tukavute majiko huko nje tuje nayo huku.
 
Binafsi siwezi kuacha kuoa kisa kuna njemba inagongewa....
Dhumuni la kuja ulimwenguni ni kuijaza dunia sasa usipooa si mabalaa...

Ambao hamtaki kuoa nawashauri oaneni wenyewe....

Genesis 1:27-28: “So God created man in his own image, in the image of God he created him; male and female he created them. And God blessed them. And God said to them, 'Be fruitful and multiply and fill the earth and subdue it and have dominion over the fish of the sea and over the birds of the heavens and over every living thing that moves on the earth.' "
 
makubaliano ya hiki kijiwe ni kutafuta hela tu. na kuwa na familia ya watoto kazaa bila kuoa..

wazo hili ni la mwenyekiti ruge mutahaba..

hawa viumbe ukiwa na pesa huwa hawakatai.. hata kama wanajua wewe ni mtu wa kuzalisha tu sio muoaji..

blaza ruge hadi leo akitongoza totoz zinakubali...

ila hata ukiwa na ugentleman, una heshima ila pesa huna.. bado watakudharau tu..

wajanja wameshawajua.. so ni kusaka mahela tu na kuzaa nao tu...

ndoa ni stress tu kwa zama hizi
Approved 😎😎 ukinkuta namzalisha ndugu yako usimind au mama watoto wako
 
Mambo niaje
Niende moja kwa moja kwenye maada nikianza kwa kueleza masikitiko yangu kuhusiana na Hawa wanawake zetu.tumeshashuhudia jinsi baba zetu na Babu zetu na baadhi ya member wa humu jf wakitoa malalamiko walivyopita katika maisha ya ndoa kiukweli inatesa Sana wanawake wa kileo ndio kasheshe zaidi yaani kugongewa kupo Kama kote vile.nimeshuhudia kabisa ndoa mbili ambazo ni za ndugu zangu jinsi wake zao walivyokuwa waki cheat nje Tena na dharau juu.mtu kaolewa na boss mkubwa lakini Anakwenda kugawa penzi nje Tena kwa dereva bajaji.dah inauma sana.
Sasa Mimi nimewaita hapa jf ili tujue tunafanyaje maana huko tunaopelekea tutakuja kuoa magarasa halafu tuje kupata Moto ndani ya ndoa tufe mapema na ma stress.tufanyaje Sasa maana me sielewi siwaamini kabisa Hawa kina dada.wasiwasi wa kufanyiwa vituko,madharau ni mkubwa sana.tukiwauliza walio kwenye ndoa wanasema kila mmoja apambane na Hali yake.inahitaji uvumilivu unajua.nyie mnasemaje vijana wenzangu tuachane na habari za kuoa au Kila mmoja afe na tai yake shingoni?
Kwanza vijana wanaotaka kuoa inabidi tutambue
1 Kumtanguliza Mungu hasa mwanzo kabisa wa mahusiano hii itafanya tuwe na kwa kukimbilia. Hata ikitokea shida na ukipiga goti mbele zake ana jibu kwa wakati

2 kama mwanaume kutambua majukumu yako na kuyatimiza kikamilifu. Kumbuka mwanamke haitaji pesa tu!

Wanaita mtu mume mwenye maono na mwenye kuhakikisha kila tatizo bila kujali kubwa au dogo una uwezo wa kulimudu na kulitolea maamuzi sahihi. Awe na uhakika kwamba jambo likifika kwako ana uhakika wa kupata majibu au utatuzi wa jambo hilo hata kama jambo hilo ni gumu kiasi gani

Wanaitaji kupewa muda wa kutosha kua nao na kuwasikiliza masaibu yao. Kama ukimpa mwanamke muda wa kutosha hakika hauta tumia nguvu nyingi kuwasiliana naye. Itafika kipindi ukimwangalia tu anujua kwamba nini unamwambia kwa wakati huo
Kumbuka macho yanaongea na mahusia mengi yaliofikia hatua hii ni ngumu kuvunjika

Makamuzi. Kutokana na kupigaka kwa vita kila siku kwenye kiwanja kile kile na kukosa ubunifu wa vitu vipya hupelekea ndoa kua mzigo. Kwa maana kabla vita haija anza inakua imesha ratibiwa kwamba itafanyikia sehemu fulani. Mwanaume unatakiwa uwe jeshi la uhasi[emoji16] AMBUSH sehemu yeyote na muda wowote ambayo unaona ina usalama kwako kukinukisha Bila kujali ni ndani ya fens,chooni,sebuleni, hata jikoni maana siku vita ikitokea wakati wa mapishi sipati picha utamu wa hicho chakula [emoji38]. Inatakiwa akikuona muda wowote na mahala popote ahisi hali ya hatari

Note. Pamoja na yote kuna wengine ni mashetani tu.. Hivyo kumtanguliza Mungu ni jambo la msingi
 
makubaliano ya hiki kijiwe ni kutafuta hela tu. na kuwa na familia ya watoto kazaa bila kuoa..

wazo hili ni la mwenyekiti ruge mutahaba..

hawa viumbe ukiwa na pesa huwa hawakatai.. hata kama wanajua wewe ni mtu wa kuzalisha tu sio muoaji..

blaza ruge hadi leo akitongoza totoz zinakubali...

ila hata ukiwa na ugentleman, una heshima ila pesa huna.. bado watakudharau tu..

wajanja wameshawajua.. so ni kusaka mahela tu na kuzaa nao tu...

ndoa ni stress tu kwa zama hizi
Naunga mkono hoja na kusapot juhudi za kutafuta pesa
 
illicitly[emoji23][emoji23]
When you want to decide about your future and invite other folks to ride it.
They are planning to invade/make an ambush in front of the enemy.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Si kama sitaki kuowa tatizo namuowa nani???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jifarijini tu mmalize sabuni madukani,tena sisi tuwe wauza maduka,ukija unataka kipande tukupa mche.

Hivi hao wanaume wanaomaliza sabuni wapo kweli? Hahaha maana idadi ya wanawake ni kubwa kuliko sisi wanaume iweje mtu ushindwe kuongea nao vizur au bas hata pesa nishindwe kutoa hahahaha bado situmii sabuni mimi..
 
makubaliano ya hiki kijiwe ni kutafuta hela tu. na kuwa na familia ya watoto kazaa bila kuoa..

wazo hili ni la mwenyekiti ruge mutahaba..

hawa viumbe ukiwa na pesa huwa hawakatai.. hata kama wanajua wewe ni mtu wa kuzalisha tu sio muoaji..

blaza ruge hadi leo akitongoza totoz zinakubali...

ila hata ukiwa na ugentleman, una heshima ila pesa huna.. bado watakudharau tu..

wajanja wameshawajua.. so ni kusaka mahela tu na kuzaa nao tu...

ndoa ni stress tu kwa zama hizi
Bravoo
 
They are planning to invade/make an ambush in front of the enemy.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Real Afghanistan enemy [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
5)Mchukulie mkeo kama kabati, au meza, (usiwe attached nae emotionally) though simaanishi um-treat vibaya, m-treat mkeo vizuri, namaanisha kuwa akiku-cheat sawa asipoku-cheat sawa, akikuacha sawa, asipokuacha sawa, don't give a f*ck about her, maudhi yake yakikuzidi go back to point number one, hama nyumba umwache mwenyewe, asipojirekebisha mpe pesa kiasi unachoweza hlf umfukuzilie mbali kutoka kwenye nyumba yako, watoto Walee mwenyewe kwa upendo mkubwa kwa msaada wa house girl mwenye roho nzuri, usiwaletee hao watoto mama wa kambo, ur second house utaitumia kuingizia michepuko yako mingine, as long as unajilinda na ukimwi. ndege JOHN cute b Zainabu002
Sounds like a plan bro... nimeielewa
 
Mi natafuta hela tu kwa sasa... a lot if cash.... kisha nakamata binti mbichi anitotolee watoto wa kutosha... then project B inaanza...
 
Back
Top Bottom