Recent content by pasodz

  1. P

    JamiiForums Tanzania Shule yenye Kombi ya PGM Mbeya mjini

    samahan wanajamvi naomba kufahamishwa shule ya serikal mbeya mjini yenye kombi ya PGM nitashkuru
  2. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu juu ya kombi ya pgm

    salam zenu wadau! samahan naomba anaefaham shule ya serikal yenye kombi ya PGM hapa mbeya mjini ahsanten!
  3. P

    JamiiForums Tanzania Tcu application

    thanks
  4. P

    JamiiForums Tanzania Tcu application

    Eti wadu mwisho wa kuapply vyuo lin?
  5. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naepuka lawama

    kama ni kwel 80% ya wanaume tz wanatunza watoto wasio wao bac hapo utajua wew yup umsaidie
  6. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitabadilisha wanawake hadi nipate asiyeomba pesa kila siku

    mwanzon mi nilijua kupenda sana wasichana ni ujanja nilijikuta kwenye mpira nafall, kaz nafall nikadiscus na dakitar mmoja akaniambia kuwa kiafya kufanya mapenz ni mara 3 kwa wik nikaguna wakat mi nilikuwa napumzka cku moja tu so, mamen tusijisifie ujnga hapo tunajimalza mwenyew eti mtu anasex...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kwa anayehitaji Lift (elevator) kwa ajili ya jengo lake

    Mkuu hv lift kama inakupandisha then ghafla umeme ukakatika kabla hujafika inakuaje ?
  8. P

    JamiiForums Tanzania Msichana wa kazi anahitajika haraka

    kuna mdada jiran angu anapenda sana hyo kazi maana amesoma mpaka elimu ya juu about laboratory ila andaa vyumba 5 vya kulala watoto wake namwambia akupm sasa hv
  9. P

    JamiiForums Tanzania Ukijaza educattion hata mwisho ni lazima unachaguliwa nayo?

    huwa naumia sana kuckia kuwa eti education ni ya waliofel, wakati mim nimechomoka na dvsn one ya EGM then facult niliopenda ni AGRICULTURAL ECONOMICS AND AGRIBUSINES na nyingnezo. then last nikaweka education nikakuta wamenichagua ya mwshon ie eductn so, wanavosema ualim ni waliofel huwa...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Vijana 5 wanahitajika

    si unaona hata jna lake?
  11. P

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kigola kasemaje kuhusu barabara ya Nyololo hadi Sawala Mfindi?

    Samahani wanajamvi! Kwa wale wanaotokea na wengne Mufindi (Iringa) sijabahatika kusikiliza Mbunge wangu Mh Kigola juu ya ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami toka Nyololo hadi Sawala. Swali langu ni, Je Mbunge huyu amechangia nin juu ya hili swala? kwa waliosikilza please help me...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Le mutuz nakuomba sana uje uchukue ili jimbo la Isimani

    ukirefer point namba 5, umenipunguzia 99.99% ya kukuunga mkono sabab mi siyo kabila la kibena nb npo iringa kwamba atainua vipaj vya wabena tu!
  13. P

    JamiiForums Tanzania Waarabu wana nguvu Iringa

    tatzo umekariri kuwa iringa wanaish wahehe tu acha hyo!! anyway si kosa lako
  14. P

    JamiiForums Tanzania Madereva wa kike kwanini mko hivi?

    ndo maana umewasifia kuwa madereva wazr
  15. P

    JamiiForums Tanzania Picha Mkutano wa Lowasa Arusha

    mwigulu kaenda chuo gan kutangaza nia wakuu? saa ngap?
Back
Top Bottom