Recent content by Pasco_jr_ngumi

  1. Pasco_jr_ngumi

    JamiiForums Tanzania Udanganyifu unaofanywa kwenye michezo ya kubahatisha na kamari

    ....kuna cku nilitaka kucheza, Biko, nikaona ni ufala kutuma eeehe buku.... si afadhali nkanunue peps baridiiiii
  2. Pasco_jr_ngumi

    JamiiForums Tanzania Nimempa mimba adui mkubwa wa mke wangu

    umekosea mkuu, ungeomba ushauri kabla ya kufanya kwichi kwichi... mm ningekupa staili bombaa ambazo mngengonoka vizuri na kufurahia mubasharaaa bila mimba mujarabu kujitunga!!!! aaaaaaah
  3. Pasco_jr_ngumi

    JamiiForums Tanzania Q&A, kwanini kila habari ya Mange ni verified kuliko nyingine?

    jibu Ni rahisi, nyie wenyewe ndio mnampa. mnashindwa pa kusemea. mmebanwa na mkono Wa JPM
  4. Pasco_jr_ngumi

    JamiiForums Tanzania Uwezekano wa kulipa Trilioni 4 za Acacia versus Trilioni 400 za TRA

    na siku Mkuu wa Nchi akienda ulaya watamtaifisha... chonde usiende baBa Jesca
  5. Pasco_jr_ngumi

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye waume walevi njooni hapa tufutane machozi

    na wewe uliolewaje na mnywaji, fyuuuuiuu
  6. Pasco_jr_ngumi

    JamiiForums Tanzania Majambazi 13 wauawa Kibiti, wakutwa na Bunduki 8 pamoja na Pikipiki 2

    mbona picha hamna za haoo majambazi !????
  7. Pasco_jr_ngumi

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Serikali irudushe umri wa kustaafu miaka 50-55 au itoe ofa ya kustaafu.

    nipen namba yake, niko 12 years, nataka kustaafu
  8. Pasco_jr_ngumi

    JamiiForums Tanzania Unamshauri kipi mtu anaetaka kusoma kati ya ACCA au Masters

    ACCA ndio nini??? achen uhuni ....fafanua kirefu
  9. Pasco_jr_ngumi

    JamiiForums Tanzania Mh Rais kamwe usikubali hili jambo wanasiasa wanataka kukupima na haijawai kutokea

    Ipo siku utatekwa na utakuja kufa ndipo utapojua hii kitu ni kibaya ukiwa kaburini
  10. Pasco_jr_ngumi

    JamiiForums Tanzania Anaandika kada mkongwe wa CCM kuhusu uamuzi wa Magufuli juu ya Makonda

    Kwani Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam ni Daudi Albert Bashite au Paul Christian Makonde..... Sielewi kabisaaaaa
  11. Pasco_jr_ngumi

    JamiiForums Tanzania Kwa haya ya kununua umeme toka Ethiopia na Ethiopia kutumia bandari ya Dar es Salaam, nasema hapana

    Itakuw walilewa na maji kwa mbaliiii
  12. Pasco_jr_ngumi

    JamiiForums Tanzania Historia ya Paul Makonda iwasisimue Vijana

    Nagisi huyu Mpendazoe kaiba vyeti pia.......
  13. Pasco_jr_ngumi

    JamiiForums Tanzania Kwenu Tundu Lissu, Peter Kibatala, Albert Msando na wanasheria wengine wa vyama vya upinzani

    Vyama Vikuu vya Wafanyakazi vimekaa kimya..... Nadhani vimemezwa na CCM.... Vry Sorry, Only in Tanzania
  14. Pasco_jr_ngumi

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo (HESLB) imeanza rasmi kukata 15% kwenye mshahara

    Nawasalimu wakuu, Nataka kutoa maoni juu ya anguko la Serikali kwa kushurutisha Watumishi kukatwa 15% 1. Mishahara ya watumishi imeanguka, hatimae ugum wa maisha unaanza , from now! 2. Ukata utaathiri mzunguko wa pesa kwa kiasi kikubwa. Ilitegemewa serikali ikusanye kodi na angalau irudi...
Back
Top Bottom