Gwiyama
Senior Member
- Aug 21, 2017
- 114
- 89
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mpe nauli aende kwa boyfriend wake akamsalimie [emoji23][emoji23][emoji23].... Akilala uko avue nguo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mpe nauli aende kwa boyfriend wake akamsalimie [emoji23][emoji23][emoji23].... Akilala uko avue nguo
MamamaamaeTena tena ikibidi Mpige na picha Umpelekee mkeo umwambie rafiki yake ni Mjamzito na na anaomba umsaidie kutafuta jina la Mtoto kwani ni mimba yako...ulisahau kutumia condomu....Atafurahi sana sana Mkuu atakuchagulia jina Zuri sana la Mtoto
[emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45]Ili siku moja abebe uzito wa uamuzi wake
Haina shida ila ni bora ijulikane kuliko kuua kiumbe kisicho na hatiaSasa itakuwaje mkuu litakapojulikana na wife?
Not every ejaculation deserves a name!Haina shida ila ni bora ijulikane kuliko kuua kiumbe kisicho na hatia
AiseeNot every ejaculation deserves a name!
huwa unamuelewaje faiza foxy anaposema huko shule ulikwenda kusomea ujinga.Sasa itakuwaje mkuu litakapojulikana na wife?
Salaamu,
Baada ya mke wangu kunisingizia kwamba ninatembea na rafiki yake na kupelekea mpaka kugombana sana na mimi pamoja na huyo dada wa watu, nilichokifanya ni kufanya utaratibu wa kukamilisha hilo zoezi ambalo kweli nilisingiziwa. Nimetembea na huyu dada na jana amenitaarifu kuwa ni mja mzito, anataka ushauri toka kwangu.
Je aitoe mimba ama aendelee nayo?
Pili yeye ana boyfriend wake ila yupo safari kwa muda je itakuwaje?
Wana JF nahitaji ushauri
Sasa itakuwaje mkuu litakapojulikana na wife?
Unataka Mungu awe anawaua?hivi Mungu watu kama nyie anawaachia kwasababu gan jaman
Aisee
Salaamu,
Baada ya mke wangu kunisingizia kwamba ninatembea na rafiki yake na kupelekea mpaka kugombana sana na mimi pamoja na huyo dada wa watu, nilichokifanya ni kufanya utaratibu wa kukamilisha hilo zoezi ambalo kweli nilisingiziwa. Nimetembea na huyu dada na jana amenitaarifu kuwa ni mja mzito, anataka ushauri toka kwangu.
Je aitoe mimba ama aendelee nayo?
Pili yeye ana boyfriend wake ila yupo safari kwa muda je itakuwaje?
Wana JF nahitaji ushauri
ukiona wazinzi wanavyopeana maujuzi na matechnique hadi raha yakhee!Mpe nauli aende kwa boyfriend wake akamsalimie![]()
.... Akilala uko avue nguo![]()
Sasa itakuwaje mkuu litakapojulikana na wife?