Recent content by paschal majune

  1. P

    JamiiForums Tanzania Dawa ya fungus za miguuni

    Tumia grace organic lotion anapaka miguuni ananavaa soksi naviatu
  2. P

    JamiiForums Tanzania REA IKO WAPI SASA

    REA mi wakala wa umeme vijijini .si kwamba naenda kuomba kazi Kwa mwenyekiti. Mafundi wanalijua hilo
  3. P

    JamiiForums Tanzania REA IKO WAPI SASA

    Mimi ni fundi umeme wa majumbani .kama kuna kijiji umeme unaingia na mafundi wanahitajika naomba taarifa
  4. P

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka 7 afariki kwa kuliwa na Mbwa Mwanza

    Sio mbwa hao .mauchawi hayo
  5. P

    JamiiForums Tanzania Ni dawa gani bora ya meno?

    Meno yangu yanatoboka nimetumia dawa mbalimbali bila mafanikio. Pia nasukutua Mara tatu kwa siku. Nauliza ni dawa gani ni bora ?.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Nafanya biashara sifanikiwi, nini siri yake?

    Wateja wanaopatikana faida yake ni kulipia kodi tu .
  7. P

    JamiiForums Tanzania Nafanya biashara sifanikiwi, nini siri yake?

    Kivipi ?.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Nafanya biashara sifanikiwi, nini siri yake?

    Nimeanza biashara pembeni ya mji kwa mwaka mmoja bila mafanikio. Nikahamia katikati ya mji mwezi wa sita sasa bado napata wateja wachache najiuliza au hii biashara ya vifaa vya umeme nayoifanya hailipi. Naombeni ushauri.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Vitundu kwenye kope za macho

    Macho yangu kila kope Lina kitundu kimoja. Nimeenda kwa dokta nimeambiwa ni vya kutolea machozi . Madokta je hili ni tatizo ?.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Tujuzane kidogo, Uchawi una nafasi gani katika biashara

    Kama una biashara waganga lazima uwajue .
  11. P

    JamiiForums Tanzania Msaada ugonjwa wa macho

    poa.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Tiba za asili: Manufaa ya asali na mdalasini

    add me 0787558626.
  13. P

    JamiiForums Tanzania Msaada ugonjwa wa macho

    Kwenye kope ya chini ya jicho kuna uvimbe mdogo una tundu ni kama upele flani hivi ambao unawasha nimejaribu kukamua lakini hautoi Kitu.nauliza hii ni nini ? na matibabu yake yanakuwaje ?.
  14. P

    JamiiForums Tanzania Nyimbo ya Kapten John Komba

    Hizi nyimbo za kap John Komba naweza kuzipata kwenye website gani ?.
  15. P

    JamiiForums Tanzania Abdallah: Naamka kwenye kifusi, naenda shuleni

    Sielewi !. tunaelekea wapi ? ..
Back
Top Bottom