paschal majune
Member
- Nov 11, 2015
- 43
- 1
Meno yangu yanatoboka nimetumia dawa mbalimbali bila mafanikio. Pia nasukutua Mara tatu kwa siku. Nauliza ni dawa gani ni bora ?.
Toa maelekezo hapa wote tupate somo au unataka kidogodogOKNitafute nina dawa ya kutibu meno bila kung"oa, ila mm si mtaalam wa tiba asiri.Nitakuelekeza huko ulipo.
Tusaidie hapa ndugu kama hutojali tuko wengi.Nitafute nina dawa ya kutibu meno bila kung"oa, ila mm si mtaalam wa tiba asiri.Nitakuelekeza huko ulipo.