paschal majune
Member
- Nov 11, 2015
- 43
- 1
Macho yangu kila kope Lina kitundu kimoja. Nimeenda kwa dokta nimeambiwa ni vya kutolea machozi .
Madokta je hili ni tatizo ?.
Madokta je hili ni tatizo ?.
Mbona ni kitu cha kawaida sana hicho? Umesoma biology?Macho yangu kila kope Lina kitundu kimoja. Nimeenda kwa dokta nimeambiwa ni vya kutolea machozi .
Madokta je hili ni tatizo ?.