Recent content by paschal anthony

  1. paschal anthony

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hii ndiyo supu ya popo huko China

    Wachina hawatofautiani na wakongo Sent using Jamii Forums mobile app
  2. paschal anthony

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mkuu naomba kama unazile nyimbo za chrismas uziachie kama zote ila mambo yasiwe mengi kivile
  3. paschal anthony

    JamiiForums Tanzania Elimu juu ya Huduma ya meno Bandia ya Moja kwa moja Yasiyotoka ( Crown na Bridge)

    Wapi hiki kituo kipo ninaomba kujua
  4. paschal anthony

    JamiiForums Tanzania Elimu juu ya Huduma ya meno Bandia ya Moja kwa moja Yasiyotoka ( Crown na Bridge)

    Mkuu mm naomba namba ya huyo dokta au kituo kizuri cha kufanya hii kitu...ninashida tafadhali
  5. paschal anthony

    JamiiForums Tanzania Elimu juu ya Huduma ya meno Bandia ya Moja kwa moja Yasiyotoka ( Crown na Bridge)

    Mkuu weka namba ya huyo dokta nimtafute maana ninajino bandia la plastic linanisumbua kiweka...nataka la hili la moja kwa moja...tafadhali weka namba ya huyo dokta ninashida mkuu
  6. paschal anthony

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kunanyimbo ili imbwa na ddc mliman park...unasema "wajifanya wajua jua linakuwakia kwa kuwa unatambua kazi yangu ....tafadhali nimeuchafuta bila mafanikio mkuu
  7. paschal anthony

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Nyimbo za fallypupa mkuu
  8. paschal anthony

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    mkuu nautafuta wimbo wa MAPROSO unieleze ukweli wako baba"
  9. paschal anthony

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kweli: Niliishi kuzimu siku saba

    kwan hapo ndo mwisho?
  10. paschal anthony

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kweli: Niliishi kuzimu siku saba

    duuuhh nimejifunza sana......ila bonge la stor
  11. paschal anthony

    JamiiForums Tanzania Mavazi ya Suzzy mtangazaji wa E-news (EATV) naona hayana maadili

    kweli kabisaaa yaani kananichefuaaaa
  12. paschal anthony

    JamiiForums Tanzania Mbona makosa ya dhahiri serikalini yamezidi, ni Albadri au?

    hii gemu kali sana
  13. paschal anthony

    JamiiForums Tanzania Braza

    hahahaha....hiko chuo cha HA Sent using Jamii Forums mobile app
  14. paschal anthony

    JamiiForums Tanzania Simuhitaji tena, ipi dawa yake mwanamke huyu?

    mtie vitasa vya nguvu Sent using Jamii Forums mobile app
  15. paschal anthony

    JamiiForums Tanzania Je, wajua Tanzania inaongoza kwa nguvu za kijeshi Afrika Mashariki na kati?

    mmmhh huwenda ikawa kweli Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom