Recent content by Pascalb

  1. Pascalb

    JamiiForums Tanzania Tuliingia kwa urahisi, wasema wanajeshi wa Ukraine waliohusika katika uvamizi dhidi ya Urusi

    Kuingia raising, kutoka...km naniliiii ya dog
  2. Pascalb

    JamiiForums Tanzania Nimebaini mke wangu amezaa nje ya ndoa na amekiri, naombeni ushauri

    Baki na wanao hao wawili, mwanamke aende kwa mwanaume aliyezaa naye. Ni kukosa heshima kwa mke kufanya madudu km hayo na ni aibu. Kimsingi usimpige wewe mrudishe kwa wazazi wake, wao watajua cha kufanya. Mpuuzi sana eti umri wa mimba cku hizi cyo miezi tisa. Kanikwaza sana
  3. Pascalb

    JamiiForums Tanzania Aina za Uchawi wa Kisambaa

    😆 😄 🤣 😂 kwahyo wanachukuaje? Natamani kujua mechanisms wanayotumia kuyachukua
  4. Pascalb

    JamiiForums Tanzania Haya mahesabu ya Wazungu dhidi ya Urusi ni hatari

    Ukraine hajapewa VIP membership acha kupotosha, ndo yupo kwenye hatua ya mwanzo ambayo ni Candidate status, kwa sasa Ukraine, Moldova na Georgia wako katika hatua hii ya mwanzo. Kuwa candidate inaweza chukua miaka na miaka kupata full EU Membership. Kumbuka kuna North Macedonia ana miaka 17...
  5. Pascalb

    JamiiForums Tanzania Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

    Bora wewe, mm kila nikiomba inaniambia Application failed
  6. Pascalb

    JamiiForums Tanzania Loan board acheni ubabaishaji lipeni hela za watu

    Naomba namba zao namm niwapgie maana namm nina shida km yako
  7. Pascalb

    JamiiForums Tanzania Ziara yangu ya pili nchini Ujerumani ilivyokuwa

    nackia ukipata visa ya kuingia ujerumani, ni rahisi kupata visa ya marekani. Endelea kukomaa kusafiri utakuwa na travel history nzuri sn badaye
Back
Top Bottom