Ziara yangu ya pili nchini Ujerumani ilivyokuwa

Ziara yangu ya pili nchini Ujerumani ilivyokuwa

luambo makiadi

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2017
Posts
10,709
Reaction score
8,927
Wakuu habarini,

Kama kawaida yangu mimi mzee wa mishe.mishe mbalimbali duniani, nilifika mara ya kwanza nchini German mwaka Jana na niliweka thread hapa, nina ndugu yangu ni padre kule German so that yeye die mratibu wa safari zangu za huko.

Basi kwa mara nyingine nilisafiri tena kule kwa ajili ya mishe moja hivi ya project ya shirika fulani la wajerumani, kaka yangu padre Mosha ndie alini connect,kama mjuavyo mji wa Cologne (Koln) n mji wenye wakatoliki wengi zaidi pale Ujerumani vile vile ni mji wenye waafrika shazi sana,nilikutana na wakenya kibao,wabongo wenzangu nk.


Basi project yetu tulifika katika miji ya Hamburg, Leverkusen, Monchengladbach,na Munchen(Munich)
1/Hamburg
ni mji wenye shughuli nyingi sana za kiuchumi kama Dar, pia una watu wengi ni mji wa pili kwa ukubwa baada ya Berlin
2/ Leverkusen
n mji ulio Kaskazini mwa Ujerumani una maeneo mengi ya fukwe,wakati wa kelekea monchengladbach tulipita mji. Dortmund maana ni jirani
3/mji wa Munich upo kusini ilibidi tupande ndege ya air Luhtfansa kutoka Monchengladbach hadi Munchen baada ya kazi jioin nilipata wasaa wa kutembelea uwanja wa Allianz arena unaotumiwa na timu ya Bayern Munchen, mji wa Munich unaongoza kwa viwanda ukiachilia mbali mji jirani wa Hannover ambao una kiwanda cha magari cha Voxwagen.

Project ilichukua miezi miwili katika miji niliyoitaja baada ya hapo niliruni Cologne kupumzika kidogo na kutalii, nilifika kanisa katoliki kongwe ambalo inasemekana mamajusi wa mashariki walisali kule(wakatoliki mnaelewa) mji wa Cologne una utulivu wa hali ya juu
kiufupi fursa zipo ila ufuate sheria na maisha ni ghali mno kwa mtu mwenye uchumi mdogo,
najaribu ku apload picha zinagoma.
 
nackia ukipata visa ya kuingia ujerumani, ni rahisi kupata visa ya marekani. Endelea kukomaa kusafiri utakuwa na travel history nzuri sn badaye
 
mbona fursa zenyewe hujazibainisha mkuu

halaf maisha ni gharama kivip? ungetoa mfano km vile bei ya kupanga apartment na bei ys vyskula
 
nackia ukipata visa ya kuingia ujerumani, ni kupata visa ya marekani. Endelea kukomaa kusafiri utakuwa na travel history nzuri sn badaye
n sahihi maana hata kuipata hii ya German ni mziki kwavile kaka yangu n padre kule imekuwa rahisi maana ananitumia invitation ambayo nai attach ktk request so inakuwa rahisi c unajua ma padre wana exposure sana?
 
mbona fursa zenyewe hujazibainisha mkuu

halaf maisha ni gharama kivip? ungetoa mfano km vile bei ya kupanga apartment na bei ys vyskula
mkuu nimeeleza ktk post hapo kuwa maisha n magumu mno kwa MTU usie na uchumi,ujeruman maisha n ghali sana kwa watu wazamiaji n shida ili uishi ujeruman inbd uwe na kaz ya maana
 
Mkuu,,,wewe unajishughulisha na biashra gani au kazi gani mpaka uweze kusafiri hivi ?
 
vipi kuhusu ubaguzi?
ubaguz upo Berlin,na Dortmund kwasana
miji ambayo imekalia wenyeji ndio INA ubaguz
miji ya kibiashara kama Frankfurt, hannover, munchen nk huwez kuta ubaguz
pia mji wa Bonn una waafrika wengi wafanyakaz umetulia tuli n mji wenye maofisi kwasana
 
Namimi naomba kwenda huko. Nijiandae na bei gani
 
Padre huyu huyu Amedeus P. Macha?
huyu padre nilimsikia maana mapadre watz pale n wengi na 70% wanatokea mkoa wa Kilimanjaro
pale Cologne pekee mapdre wa Kilimanjaro nilioonana nao n msaki,lyimo,urio,assey,Shayo,silayo na padre kessy
padri macha bila kukosea yupo parokea moja hivi mji wa Düsseldorf
vilevile pia kuna mapadre baadhi wa mkoa wa kagera
mfano padre rwegasira pale Dortmund ambaye n rafiki na ndgu yangu fr Mosha
 
huyu padre nilimsikia maana mapadre watz pale n wengi na 70% wanatokea mkoa wa Kilimanjaro
pale Cologne pekee mapdre wa Kilimanjaro nilioonana nao n msaki,lyimo,urio,assey,Shayo,silayo na padre kessy
padri macha bila kukosea yupo parokea moja hivi mji wa Düsseldorf
Ndugu yangu huyo yupo German kabla hata sijazaliwaga
 
Back
Top Bottom