Wakuu habari zenu, naomba niulize kitu.
Ni wapi au bank gani naweza kukopa zaidi ya milion 2 bila dhamana na nikalipa kwa awamu? Kwa maana siyo kila siku au kila mwezi.
Habari zenu wakuuu.
Nimepata pesa kiasi kadhaa ila nafikiria kufungua biashara ya play station. Ila huwa nafuatiliaga sana mitandaonj kuna vitu huwa naviona vinanikatisha tamaa kuanza hii biashara.
1.Naonaga watu wanalalamika sana kwamba ni ugomvi na kin mama kuhusu watoto wao
2.kushtakiwa...
Habari wana jamii forum
Nina kitu kinaniumiza sana kichwa kila mwaka.
-Mimi ni kijana wa miaka 25 mwenye biashara ndogo ambayo inanisaidia kukidhi mahitaji yangu ya kila siku pamoja na mambo mbali mbali, mada iliyonileta hapa ni kwamba nina miaka 25 ila nina 57KG Ila kila siku huu ni karibu...
Habari wana jamii forum, nimekuja na issue moja,
Kuna hili tatizo linanisumbua mwaka wa pili sasa lilianza mwaka juzi mwezi wa tatu nikaangaika nalo hadi mwezi wa 5 likawa limekwisha kabisa.
Iko hivi huo mwezi wa 3 mwaka 2022 ilikuwa nikivuta mafua yaje kwa njia ya mdomo mfano( kuna time...
Habari wakuu, poleni na majukumu
Mimi ni kijana wa makamu nimepanga na ninajitegemea pia ni mfanyabiashara...
Shida iliyonileta hapa wakuu kuna msichana mrembo sana ambaye nilikuwa nafahamiana naye tangu kipindi nasoma secondari miaka karibu 10 imepita, mawasiliano yetu yalikuwa ni salamu tu...
Wakuu natumai mu wazima wa afya ndugu zangu...
Natafuta guest house ya bei rahc maeneo ya karibu na Kigamboni Mji Mwema au maeneo ya Chekechea ambayo gharama ni haizidi 15000 per some hours.
Mkuu kikubwa ni maombi hakuna linaloshindikana juu ya maombi...
Nikupe historia fupi ya matatizo yangu yaliyonikutaga kipondi cha miaka kadhaa iliyopita
Kipindi nipo form 3 njia ya kwenda shule ilikuwa lazma nipandishe mlima, ni ilikuwa ndo njia yangu ya kila siku,kuna siku ghafla tu nikakuta...
Nilikuwa nina dalili zoote za sinutisis kasoro mafua sina ila pua zinaziba kwa kubadilisha ya kushoto na kulia kila baada ya muda uzibaji wake sio kama wa mafua makali ila nikwamba mpaka uzibe pua moja alaf ujaribu kupenga kwa hyo iliyobaki ndo unagundua imezba kwa mbali sana ila kupumua napumua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.