Natafuta Guest House iliyopo Kigamboni Mji Mwema

pascal luoga

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
232
257
Wakuu natumai mu wazima wa afya ndugu zangu...

Natafuta guest house ya bei rahc maeneo ya karibu na Kigamboni Mji Mwema au maeneo ya Chekechea ambayo gharama ni haizidi 15000 per some hours.
 
Njoo kisiwani hpa maeneo ya kwacheka pub ulizia kwa wakupaki guest imejificha iyo ni chaka la kula wake za watu
 
Dah......njoo Mtu na Mtu ukome kuringa Gest..ipo kisiwani kwa Mchina.......buku 5 tu.....🤣🤣🤣🤭
 
Wakuu natumai mu wazima wa afya ndugu zangu...

Natafuta guest house ya bei rahc maeneo ya karibu na kigamboni mji mwema au maeneo ya chekechea ambayo gharama ni haizidi 15000 per some hours.
Huu ujinga gani tena.... Umeambiwa sie wajumbe wa nyumba kumi
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom