Nimetokea kupendwa na malaya

pascal luoga

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
232
257
Habari wakuu, poleni na majukumu

Mimi ni kijana wa makamu nimepanga na ninajitegemea pia ni mfanyabiashara...

Shida iliyonileta hapa wakuu kuna msichana mrembo sana ambaye nilikuwa nafahamiana naye tangu kipindi nasoma secondari miaka karibu 10 imepita, mawasiliano yetu yalikuwa ni salamu tu, sikuwahi kuwa na number yako yaani ilikuwa ni mambo poa hatuna mazoea, yeye amenizidi miaka miwili ila kwa kipindi hicho kwa jinsi nilivyokuwa namuona nilikuwa kama namchukulia mtu fulani hivi ambaye hajatulia yaani wa wanaume kila kukicha ndo maana nimependa nitumie neno (malaya)

Kazi inapoanzia
Baada ya miaka 10 kupita mwezi huu mwanzoni alirudi hapa mtaan maana ni kwa ndugu yake, kwao ni Morogoro sasa kwa miaka 10 yote hyo sikujua alienda wapi.

Cha ajabu sikuwai kumpa number yangu ila alinitafuta sikumoja ili nimrekebishie simu yake nilivyomrekebishia akawa anasisitiza mara mbilimbili niisave number yake kichwani nikawa najiuliza mbona anasisitiza hivi, ikumbukwe ni msichana mrembo sana na sikuwahi kuwa na hisia naye sababu nilikuwa ninamwona ona tu hapa kwa ndugu yake kwamba ni mtu ambaye hajatulia ila siyo mwongeaji na ukimwona ni mpolee but mambo yake ya chini chini,

Siku ya pili alianza kujitumisha message za (uko wapi, umekula, polee, nakutakia kazi njema babaa ), na nyinginezo nikahisi tu hapa kuna kitu, nikawa nachat naye kila siku mwisho akaja kuniambia kwamba ni miaka 10 imepita alikuwa ananipenda tangu kipindi hicho na bado hadi leo ananipenda na alishindwa tu kusema sababu hatukuwa na mazoea, me sikumuelewa nilimuitikia kuwa hata mimi nampenda ila sikuitilia maanani na akilini mwangi nikawa najiuliza, NAWEZAJE KUPENDWA NA (MALAYA) Mtanisamee kwa hili neno ila ni sababu huyu mtu ninamfahamu tabia zake, nikawa kila siki najiuliza huu ni MTEGO ama?

Maana sina pesa za kusema nitamshawishi anipende, alikuja kunielezea kwamba amepanga anakaa hapa hapa Dar es salaam sehem (___). Pia alikuwa na mwanaume walizaa ila mwanaume akamtelekeza hivyo sasa tangu mwaka jana amepanga anakaa pekeyake mtoto yuko kwa bibi yake Hapa mtaan anakuja maramoj moja tu kutembea.

SASA
Tunda amenipa na sio kwamba mimi niliforce ila yeye alitengeneza mazingira mwenyewe ili nile hapo siwezi kuongopa, alikuwa anaforce sanaa aje kwangi siku moja tulale nikawa namkatalia mwisho nikakubali, nikajipakilia.

SASA CHA AJABU MIMI HADI LEO SIAMINI KAMA HUYU MTU ANANIPENDA KWELI AMA KUNA MTEGO HAPA KATKAT??
NA KWA SASA TUKO TUNA MWEZI KWENYE HAYA MAHUSIANO

SWALI
1.Inawezekama malaya akaja kupenda na kutulia?

2.amenizidi miaka miwili hivyo ni mkubwa kwangu je hapa sipigwi na kitu kizito kweli?

Nahitaji msaada wenu wakuu mawazo yenu ndiyo yatakayonifanya nibaki au nitoke kwenye hiki kisima wakuu.

Shukran sanaa
 
Kumbe ana mtoto yupo kwa bibi ake
Mkuuu utapigwa na kitu kizito sana usipojiangalia

Huyo mle ila hafai kuwa mke labda mchepuko eti miaka 10 alikuwa anakupenda 😂😂😂😂 daaah anachekesha sana amezalishwa huko anataka kufuta aibu yake kwako

Tunda kakupa sababu akunase vizuri labda hata ana limbwata huyo

Duuh shtuka mkuuu shtuka

Hayo mahusiano ukiingia yakadumu niite nyani nimekaa 👉👉

Yaani single maza hawafai kuolewa mkuuu yangu ni hayo usisite kutupa mrejesho kama ukikazaa shingo

Yangu ni hayo tu
 
Umejuaje ni Malaya?
Kwa kumtazama Kwa macho??

Inawezekana wewe hata Malaya huwajui....

Hebu nenda telegram ukawaone Malaya halafu uje umoinganishe nahuyo...
 
Kwan ww sikuizun una mwonaje ana ile tabia yake kama ya zaman ama kama jibu n no.. bac jishindie hio n zawad yko
 
Huyo yamemshinda anataka aje aponee kwako umhifadhi maana mambo yamekua magumu kwake chukua tahadhari usikurupuke kuoa mwanamke alieachika chunguza kwanza.
Nimegundua hili mapema hapa ni kula tunda tuuu
 
Kumbe ana mtoto yupo kwa bibi ake
Mkuuu utapigwa na kitu kizito sana usipojiangalia

Huyo mle ila hafai kuwa mke labda mchepuko eti miaka 10 alikuwa anakupenda daaah anachekesha sana amezalishwa huko anataka kufuta aibu yake kwako

Tunda kakupa sababu akunase vizuri labda hata ana limbwata huyo

Duuh shtuka mkuuu shtuka

Hayo mahusiano ukiingia yakadumu niite nyani nimekaa

Yaani single maza hawafai kuolewa mkuuu yangu ni hayo usisite kutupa mrejesho kama ukikazaa shingo

Yangu ni hayo tu
Mkuu hapa ataliwa tuu hakuna wa kumweka ndani, wanawake kibao wapo hawajazaa siwez kuishi na mtu kama huyu
 
Habari wakuu, poleni na majukumu

Mimi ni kijana wa makamu nimepanga na ninajitegemea pia ni mfanyabiashara...

Shida iliyonileta hapa wakuu kuna msichana mrembo sana ambaye nilikuwa nafahamiana naye tangu kipindi nasoma secondari miaka karibu 10 imepita, mawasiliano yetu yalikuwa ni salamu tu, sikuwahi kuwa na number yako yaani ilikuwa ni mambo poa hatuna mazoea, yeye amenizidi miaka miwili ila kwa kipindi hicho kwa jinsi nilivyokuwa namuona nilikuwa kama namchukulia mtu fulani hivi ambaye hajatulia yaani wa wanaume kila kukicha ndo maana nimependa nitumie neno (malaya)

Kazi inapoanzia
Baada ya miaka 10 kupita mwezi huu mwanzoni alirudi hapa mtaan maana ni kwa ndugu yake, kwao ni Morogoro sasa kwa miaka 10 yote hyo sikujua alienda wapi.

Cha ajabu sikuwai kumpa number yangu ila alinitafuta sikumoja ili nimrekebishie simu yake nilivyomrekebishia akawa anasisitiza mara mbilimbili niisave number yake kichwani nikawa najiuliza mbona anasisitiza hivi, ikumbukwe ni msichana mrembo sana na sikuwahi kuwa na hisia naye sababu nilikuwa ninamwona ona tu hapa kwa ndugu yake kwamba ni mtu ambaye hajatulia ila siyo mwongeaji na ukimwona ni mpolee but mambo yake ya chini chini,

Siku ya pili alianza kujitumisha message za (uko wapi, umekula, polee, nakutakia kazi njema babaa ), na nyinginezo nikahisi tu hapa kuna kitu, nikawa nachat naye kila siku mwisho akaja kuniambia kwamba ni miaka 10 imepita alikuwa ananipenda tangu kipindi hicho na bado hadi leo ananipenda na alishindwa tu kusema sababu hatukuwa na mazoea, me sikumuelewa nilimuitikia kuwa hata mimi nampenda ila sikuitilia maanani na akilini mwangi nikawa najiuliza, NAWEZAJE KUPENDWA NA (MALAYA) Mtanisamee kwa hili neno ila ni sababu huyu mtu ninamfahamu tabia zake, nikawa kila siki najiuliza huu ni MTEGO ama?

Maana sina pesa za kusema nitamshawishi anipende, alikuja kunielezea kwamba amepanga anakaa hapa hapa Dar es salaam sehem (___). Pia alikuwa na mwanaume walizaa ila mwanaume akamtelekeza hivyo sasa tangu mwaka jana amepanga anakaa pekeyake mtoto yuko kwa bibi yake Hapa mtaan anakuja maramoj moja tu kutembea.

SASA
Tunda amenipa na sio kwamba mimi niliforce ila yeye alitengeneza mazingira mwenyewe ili nile hapo siwezi kuongopa, alikuwa anaforce sanaa aje kwangi siku moja tulale nikawa namkatalia mwisho nikakubali, nikajipakilia.

SASA CHA AJABU MIMI HADI LEO SIAMINI KAMA HUYU MTU ANANIPENDA KWELI AMA KUNA MTEGO HAPA KATKAT??
NA KWA SASA TUKO TUNA MWEZI KWENYE HAYA MAHUSIANO

SWALI
1.Inawezekama malaya akaja kupenda na kutulia?

2.amenizidi miaka miwili hivyo ni mkubwa kwangu je hapa sipigwi na kitu kizito kweli?

Nahitaji msaada wenu wakuu mawazo yenu ndiyo yatakayonifanya nibaki au nitoke kwenye hiki kisima wakuu.

Shukran sanaa
Mithali 5:3-5 maana midomo ya malaya hudondoza asali na Kinywa chake Ni laini Kama mafuta, lakini mwisho wake Ni mchungu kuliko pakanga, Ni mkali Kama upanga wa makali kuwili, miguu yake inatelemkia mauti na njia zake zinashikamana kuzimu' Amina
 
Back
Top Bottom