pascal luoga
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 238
- 271
Habari wakuu natumai mu wazima
Dhumuni la mada hii ni kuwauliz kama kuna mtu aliyewai kukumbana na changamoto ninayopitia kwa sasa...
Iko hv.
Huu ni mwez wa 2 na siku dhaa kuelekea miez mitatu ninatatzo linanipa changamoto kwelikweli
- upande wa kulia wa pua huwa nasikia maumivu sana maeneo ya sinusis (ukishika pua yako mfupa wa katkat wa pua ukisogeza kidole chako pembeni kama unaacha eneo la pua na kuelekea chini ya jicho kuna mfupa umepita nikiwa na maana ukigusa jicho lako sehem yanapotokea machozi ukishusha kidole chini kuna mfupa umepita ambao ukigusa utaona mfupa umepita kuelekea eneo la chini la shavu)
-Maumiv makali eneo la juu ya mdomo hard palate (ukishika meno yako ya juu kwa ndani juu ya mdomo kuna mistari mistari imepita juu) maumivu huongezeka wakati nikiwa nimelala
- Tonsils (mafindo findo) niliyaona tangu january mwishoni baada ya kujiangalia maana hayaumi nilichokuja kugundua ni kwamba mpaka leo bado yapo na huwa hayana maumivi yyte pale ninapokula...*huwa yananitokeaga ila kwa siku 5 tu yanaondoka ila kwa sasa yana miez miwili yako vile vile..
NIMETUMIA dawa za hospital nyingi na bado sijaona mafanikio yoyote yale.
Kama kuna aliyewai pitia hii anipe muhafaka kuwa yeye alipona kwa njia gani..
Shukran wakuu