Kwa mara ya kwanza leo nimetembea zaidi ya kilomita 6 asubuhi kutoka nyumbani Kigamboni kuja mjini. Njia pekee ya usafiri ni bajaji na zipo chache, watu wanapanda virikuu. Gari za mizigo zimegeuzwa daladala Kweli hata kama ni vita ya ukraine hii sasa inaanza kuwa too much. Hapa nawaza...
Wakuu, mfumo wa kuomba ajira wa sekretariet ya utumishi, Ajira Portal (portal.ajira.go.tz) unaonekana kutofanya kazi baada ya kutangazwa kwa ajira za PCCB na TRA.
Wahuni wameshafanya yao? :( Hii website huwa ina shida ya Security. Nimejaribu kuingia leo jioni, napelekwa kwenye server za...
Juzi kuna mdau aliandika kuwa mitihani ya usaili wa Tax Officers wa TRA umevuja na walikuwa wanasove pepa wakiwa kwenye magari kuelekea Dodoma kwenye usaili. Sasa sekretariet imesema usaili umeahirishwa bila hata kutoa sababu zinazoeleweka.
Kuna kaharufu ka uozo hapa.
Pia, Soma=> Mtihani wa...
Wananchi wa Uganda wameonesha kukasirishwa na hatua ya serikali ya nchi hiyo kutoa zaidi ya dola milioni 30 za Marekani (sawa na zaidi ya Tsh bilioni 69.5) fedha za kununua magari ya wabunge wakati taifa hilo likiwa katikati ya mapambano dhidi ya virusi vya corona na kuinua uchumi wa nchi...
Naunga mkono Mkuu.. hizi tozo zinahitaji marekebisho makubwa kama kweli tuna nia ya dhati ya kuisaidia nchi yetu.. Kama vipi zifutwe tu serikali ina njia nyingi za kukusanya mapato bila kuwaumiza wananchi wa kipato cha chini
Napata wakati mgumu kuamini kuwa Mwigulu ndie Mastermind wa hii kodi. Sawa, ameshiriki kuota moto wa wajinga na sasa ni zamu yake kuteka kuni, anatumika tu
Wakuu, nawasalimu kwa Jina la Jamhuri.
Nimepita mitandaoni, nimeona jinsi watu wanavyomshambulia Mwigulu kuhusu tozo ya miamala. Naunga mkono mashambulizi, lakini nadhani tunakosea tunayemwelekezea mashambulizi hayo.
Wanasema kila zama na kitabu chake. Wakati wa enzi za Mwendazake, taifa...
Kama hauna ulazima wa kuchanganya lugha, usichanganye.. milioni 5 ni kubwa Mkuu.. inahitaji umakini mkubwa kuipata.. labda kama unaandika andika tu huitaki hiyo hela 😁
Wamesema uandike kwa lugha ya kiswahili au kiingereza.. kuchanganya lugha bila sababu ya msingi kinaweza kuwa kigezo cha kukukosesha ushindi.. si unajua ni kama inteview tu.. kosa dogo linaweza kukukosesha kazi 😁
Umeandika vizuri.. ila kweli kama una lengo la kushinda hizo milioni tano inabidi upitie upya spelling zako na kuchanganya maneno ya kizungu na kiswahili
Mtanzania wa kwanza binti mwenye umri wa miaka 20, Rawan Dakik na pia mdogo kabisa Barani Afrika kupanda mlima mrefu zaidi duniani amefanikiwa kumaliza mzunguko wake wa pili wa mita 7,200 juu ya usawa wa bahari bila oksijeni ya nyongeza
Rawan atapumzika kwa siku tano katika kambi ya mlima...
Wananchi wa Vijiji vya Nyiboko, Borenga, Machanchari na Maremboto vilivyopo Kata ya Kisaka wilayani Serengeti wameliomba Jeshi la Wananchi (JWTZ) kukagua na kuondoa mabomu yaliosalia maeneo ya makazi baada ya Watoto kuokota bomu ambalo halijalipuka mara baada ya kuhitimisha mafunzo ya kivita...
Kama kawaida yake, Trump huwa hajali! Hata wakati Marekani inahangaika kukimbizana na Corona, mwamba alikuwa bize na gofu! Na leo tena, Biden anatangazwa mshindi, yeye yupo bize na gofu. Nadhani ataendelea kucheza zaidi maana amepumzishwa majukumu ya White House.
(Picha na AP)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.