Mie naona maarifa ya awali jinsi yalivyofubaza maarifa mapya kuwaingia,
Endapo maarifa ya awali yangekuwa chanya nazani Jambo hili lisingetumia nguvu kubwa katika kulitekeleza,
Kweli beki hazikabi ,
Pia hata mafowadi nao mbona wanapoteza mpira kila wakipasiwa,
Nazani viungo,walinzi WA Kati na WA pembeni wanapaswa kujiimarisha kwa kujinyumbua kwa umakini
Asili ya binadamu Ni binadamu mwenyewe,
Usinilazimishe niamini kuwa binadamu aliumbwa na mungu yaaani alitokana na udongo la hasha!
Au binadamu alitokana na nyani(sokwe),
Vyote tupa kule,
Asili ya binadamu ni binadamu mwenyewe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.