IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,182
- 7,844
Haya wanauza mia tano kwa lita moja na nusu??Maji Bora ni Maji ya Afya hayo mengine ni maji ya wahaya na wachaga.
Haya wanauza mia tano kwa lita moja na nusu??Maji Bora ni Maji ya Afya hayo mengine ni maji ya wahaya na wachaga.
Ni kweli kabisa mie siku nyingi niliacha kuyatumia haya maji.Hivi ni mimi tu ndo nahisi haya maji yamepoteza ubora wake, maana siku hizi yamekuwa kama yana chumvi chumvi hivi, ile ladha nzuri ya zamani haipo tena.
Ni nini kimetokea katika brand hii kubwa nchini?
Hivi ni mimi tu ndo nahisi haya maji yamepoteza ubora wake, maana siku hizi yamekuwa kama yana chumvi chumvi hivi, ile ladha nzuri ya zamani haipo tena.
Ni nini kimetokea katika brand hii kubwa nchini?
Haya maji ni magumu hayakati kiu kwa haraka na ukiyanywa yanakuwa kama yana radha fulani mdomoni. Kwangu maji ya UHAI ndio the bestKuna maji yanaitwa Dew drop maji konki Sana Yale
Poleni kwa nyie mnywao haya maji yaliyojawa na LED, siyataki hata kuyasikia....unakunywa baada ya muda meno yote yenaoza na kuwa kama Mchagga halisi.Hivi ni mimi tu ndo nahisi haya maji yamepoteza ubora wake, maana siku hizi yamekuwa kama yana chumvi chumvi hivi, ile ladha nzuri ya zamani haipo tena.
Ni nini kimetokea katika brand hii kubwa nchini?
Original waijuaje?Hii ndiyo sababu kuuu, watu wanafoji sana... Mfano Colgate original usipoenda super market wanakupiga...
Maji Bora ni Maji ya Afya hayo mengine ni maji ya wahaya na wachaga.
maji hayo ya Afya ukinywa uta taka tena na tena.Ila hizo brands ulizozitaja, hazifikii kwa ubora wa maji ya Dew rop(Sumbawanga), Udizungwa(Moro) na Kipengere(Njombe kama sijakosea).
ndiyoHaya wanauza mia tano kwa lita moja na nusu??
sio ukabila ni makabila yanayopenda sifa kupitiliza na Overate coverage kuliko uhalisiaMkuu acha ukabila
Ulishawahi kuzitumia hizo brand nilizozitaja mkuu?maji hayo ya Afya ukinywa uta taka tena na tena.
Hahahahaha.....mweee....mnawaza nini jamani?Mbona maji bado yana ubora ule ule. Mleta mada jiangalie labda kipindi unakunywa maji ulitoka kuzama chumvini, domo lako bado lilikuwa na chembechembe za chumvi
Kweli kabisa yapo kama mkojo wa pundaHivi ni mimi tu ndo nahisi haya maji yamepoteza ubora wake, maana siku hizi yamekuwa kama yana chumvi chumvi hivi, ile ladha nzuri ya zamani haipo tena.
Ni nini kimetokea katika brand hii kubwa nchini?
Aiseee 😂🤣🤦🏽♂️Mbona maji bado yana ubora ule ule. Mleta mada jiangalie labda kipindi unakunywa maji ulitoka kuzama chumvini, domo lako bado lilikuwa na chembechembe za chumvi
Inawezekana .nilikua naongea na jamaa hapa wanasema hivohivo yana chumviMaji ya Kilimanjaro sasa hivi yanatengenezewa hapa hapa Mjini Mikocheni. Hayaletwi tena kama zamani kutoka K'njaro na hii ilianza tangu mzee hajasepa. Maji yao siku hizi yana Chumvi
Walitoa tenda na watu wengine kutengeneza.sio original Yale yalikuepo yanatok Moshi Mt Kilimanjaro Kwa mfano Mwanza kuna mtu anatengeneza ndio kilichosababisha kupoteva ubora wake ulikuwa unaaminika Kwa miaka mingiHivi ni mimi tu ndo nahisi haya maji yamepoteza ubora wake, maana siku hizi yamekuwa kama yana chumvi chumvi hivi, ile ladha nzuri ya zamani haipo tena.
Ni nini kimetokea katika brand hii kubwa nchini?