Watoto waamini asili ya binadamu ni ipi?

Watoto waamini asili ya binadamu ni ipi?

Nikumegee siri mkuu, ukimwamini Mungu kwa Imani yako na kushika amri zake inalipa sana. Ninashuhudia binafsi!

Kumwamini Mungu na kumtegemea haina maana kwamba hutopata misukosuko ya Maisha. Yenyewe itakuja Ila utabaki imara mara zote.
Hapo ndio unapokwama mzee, Jamaa kakuambia umchambulie kwa njia isiyo ya kisomi we unamhubiria
 
✔✔✔✔ nitakuja kukujuza maana ya Eva kutoka ubavuni mwa Adam, na Maana ya Adamu kuitwa Mtu wa kwanza, (sio mtu wa kwanza kuimbwa), nitakujulisha maana ya mtu kuumbwa kwa udongo kimwili na kiroho pia nitakujulisha watu tulitokea vipi duniani bali hata wanyama mimea nk,

Kifupi ni kwamba sio kila neno la Vitabu vya dini huwa na maana ya mojakwa moja.

Vita subira.

Nawe wataka tuangamie kwa kukosa maarifa? Linalowezekana Leo lisingoje kesho.

Funguka mtaalamu.
 
Asili ya Binadamu ni utata.

Binafsi napenda na nimeikubali asili ya mwanadamu kwa mujibu wa Biblia Takatifu.

Sina tatizo na wanaopinga asili hii ya Biblia.
Kwa hiko unaamini wewe ulitokana na laana.Unaamini gharika lilifika mpaka kijijini kwenu mkapanda safina.Au mafuriko yanapotokea mwafrika alikuwa mzungu laana ilikuwa haijampata bado.
 
Kwa hiko unaamini wewe ulitokana na laana.Unaamini gharika lilifika mpaka kijijini kwenu mkapanda safina.Au mafuriko yanapotokea mwafrika alikuwa mzungu laana ilikuwa haijampata bado.

Uko Sawa kabisa. Naamini hivyo!

Wewe unaonaje?
 
Kwa wale mliopitia shule kuanzia ngazi ya msingi mtakuwa mlikutana na mada ya asili ya binadamu kuwa mwanzo wake ni nyani. Hoja ni kwamba ilikuaje nyani aendelee kuwa nyani hadi leo bila kubadilika asili yake?

Utata upo, Biblia na vitabu vya dini zingine kama Qur an vimeandika chanzo cha binadamu aliumbwa na Mungu kutoka kwenye udongo.

Hii inachanganya wanafunzi waamini upande gani, sayansi au dini? Charles Darwin alidai asili ya binadamu imetokana na nyani, ukweli ni upi?
Kuwaaminisha watoto unachoamini ni uharibifu na upokaji wa Uhuru wa mtoto.Mtoto anatakiwa ajifunze nadharia mbalimbali kisha atakapokuwa mtu mzima apime mwenyewe achague ukweli.Wazazi wengi hutaka kuwaaminisha ukweli wanaouamini matokeo yake mtoto akikua anamua ya kwake af mzazi ananuna pengine hata kumtenga mtoto.Mtu akisha fikia miaka 18 Huyo sio mali yako, anakuwa na ufahamu wake na maamuzi yake.Hivyo akiikataa dini yako usimlazimishe kama mtoto atachomwa ni yeye na kama pepo atafaidi yeye.Peponi au Motoni mzazi hato ambatana na mtoto, kila mtu atakabiliana yeye mwenyewe.
 
Kwa wale mliopitia shule kuanzia ngazi ya msingi mtakuwa mlikutana na mada ya asili ya binadamu kuwa mwanzo wake ni nyani. Hoja ni kwamba ilikuaje nyani aendelee kuwa nyani hadi leo bila kubadilika asili yake?

Utata upo, Biblia na vitabu vya dini zingine kama Qur an vimeandika chanzo cha binadamu aliumbwa na Mungu kutoka kwenye udongo.

Hii inachanganya wanafunzi waamini upande gani, sayansi au dini? Charles Darwin alidai asili ya binadamu imetokana na nyani, ukweli ni upi?
Asili ya binadamu Ni binadamu mwenyewe,

Usinilazimishe niamini kuwa binadamu aliumbwa na mungu yaaani alitokana na udongo la hasha!

Au binadamu alitokana na nyani(sokwe),
Vyote tupa kule,

Asili ya binadamu ni binadamu mwenyewe.
 
Uko Sawa kabisa. Naamini hivyo!

Wewe unaonaje?
Mi si kizazi kilicho laaniwa kama wewe.kipndi nuhu anahangaika na jahazi wazazi wangu walikuwa Afrika wanaendeleza maisha yao ,wewe wazazi wako walikuwa wazungu na nywele za kuanguka hahahaaaaa!!
 
Hayasaidii kitu kwa dunia ya sasa..watu tunaangalia mbele ..
Mpeleke mtoto wako shule akafunzwe vitu modern kwa wazungu huko wanafundishwa kuunda chipset za simu, na mambo mengine makubwa..

Asili ya mwanangu ni Mimi baba yake
Hayo ya nyani sijui ngedere ni ujinga

Ukibisha tupigane
 
Mi si kizazi kilicho laaniwa kama wewe.kipndi nuhu anahangaika na jahazi wazazi wangu walikuwa Afrika wanaendeleza maisha yao ,wewe wazazi wako walikuwa wazungu na nywele za kuanguka hahahaaaaa!!
🤷
 
Back
Top Bottom