TMA yatabiri mvua mikoa sita

TMA yatabiri mvua mikoa sita

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,419
Reaction score
5,021
Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mvua kubwa zinatarajiwa kunyesha kwa siku mbili katika mikoa sita na kuleta athari katika mikoa hiyo.

Mikoa inayotarajiwa kunyesha mvua hizo ni Iringa, Njombe, Lindi Mtwara, Ruvuma na Morogoro.

Taarifa ya TMA iliyotolewa leo Jumamosi Desemba 26, 2020 imesema mvua hizo zinatarajiwa kunyesha juu ya wastani kuanzia leo hadi Desemba 27, 2020.

Inasema zinaweza kusababisha mafuriko na barabara kutopitika na baadhi ya makazi ya watu kuzungukwa na maji na kuwataka wananchi kuchukua tahadhali.

Pia, TMA imetoaa tahadhali ya kuwepo kwa mawimbi makubwa yanayofikia ukubwa wa mita 2.0 na upepo unaokwenda kasi kilometa 40 kwa saa utakaosababisha kuathiri shughuli za uvuvi, usafiri baharini na upatikanaji wa samaki.

Imesema upepo huo unatarajiwa kuanza Desemba 28, 2020 maeneo ya Pwani ya bahari ya Hindi katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Dar es Salaam, Pwani, Tanga, Mafia, Unguja na Pemba.

TMA imewashauri watumiaji wa bahari ya Hindi wachukue tahadhari na hatua stahiki huku wakiendelea kufuatilia hali hiyo a watatoa mrejeo kila itakapobidi.
 
Dar naona napo imeanza imeambatana na kaupepo kwa mbali
 
TMA imewashauri watumiaji wa bahari ya Hindi wachukue tahadhali na hatua stahiki huku wakiendelea kufuatilia hali hiyo a watatoa mrejeo kila itakapobidi.
Morogoro ni mkoa wenye neema sana. Kila tabiri ya mvua lazima mkoa huo uwemo.
 
Yaan X mass imemaliza Hela zangu!!!! Bado Mwaka Mpya!!!!

Wakati Huo Najiandaa Ulingon na Mbabe
JANUARY!!!!!!

Serikali imekaa kimyaa tu!!!! Haki iko wapi Jaman!!!!!!!!
 
Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mvua kubwa zinatarajiwa kunyesha kwa siku mbili katika mikoa sita na kuleta athari katika mikoa hiyo.

Mikoa inayotarajiwa kunyesha mvua hizo ni Iringa, Njombe, Lindi Mtwara, Ruvuma na Morogoro.

Taarifa ya TMA iliyotolewa leo Jumamosi Desemba 26, 2020 imesema mvua hizo zinatarajiwa kunyesha juu ya wastani kuanzia leo hadi Desemba 27, 2020.

Inasema zinaweza kusababisha mafuriko na barabara kutopitika na baadhi ya makazi ya watu kuzungukwa na maji na kuwataka wananchi kuchukua tahadhali.

Pia, TMA imetoaa tahadhali ya kuwepo kwa mawimbi makubwa yanayofikia ukubwa wa mita 2.0 na upepo unaokwenda kasi kilometa 40 kwa saa utakaosababisha kuathiri shughuli za uvuvi, usafiri baharini na upatikanaji wa samaki.

Imesema upepo huo unatarajiwa kuanza Desemba 28, 2020 maeneo ya Pwani ya bahari ya Hindi katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Dar es Salaam, Pwani, Tanga, Mafia, Unguja na Pemba.

TMA imewashauri watumiaji wa bahari ya Hindi wachukue tahadhali na hatua stahiki huku wakiendelea kufuatilia hali hiyo a watatoa mrejeo kila itakapobidi.
Kwahiyo hawa TMA ni mpaka mvua ianze ndio nao wanaleta utabiri wakati inaendelea
 
Sasa hivi naona kidogo T M A wapo vzr , nipo iringa town mvua inanyesha vibaya mno toka saa nane mchana mbaka muda huu
 
Morogoro ni mkoa wenye neema sana. Kila tabiri ya mvua lazima mkoa huo uwemo.
Morogoro uko katikati, na katikati ni patamuuu.... watu aaaggh na kicheko juuu.... sina maana hiyooo....
 
Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mvua kubwa zinatarajiwa kunyesha kwa siku mbili katika mikoa sita na kuleta athari katika mikoa hiyo.

Mikoa inayotarajiwa kunyesha mvua hizo ni Iringa, Njombe, Lindi Mtwara, Ruvuma na Morogoro.

Taarifa ya TMA iliyotolewa leo Jumamosi Desemba 26, 2020 imesema mvua hizo zinatarajiwa kunyesha juu ya wastani kuanzia leo hadi Desemba 27, 2020.

Inasema zinaweza kusababisha mafuriko na barabara kutopitika na baadhi ya makazi ya watu kuzungukwa na maji na kuwataka wananchi kuchukua tahadhali.

Pia, TMA imetoaa tahadhali ya kuwepo kwa mawimbi makubwa yanayofikia ukubwa wa mita 2.0 na upepo unaokwenda kasi kilometa 40 kwa saa utakaosababisha kuathiri shughuli za uvuvi, usafiri baharini na upatikanaji wa samaki.

Imesema upepo huo unatarajiwa kuanza Desemba 28, 2020 maeneo ya Pwani ya bahari ya Hindi katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Dar es Salaam, Pwani, Tanga, Mafia, Unguja na Pemba.

TMA imewashauri watumiaji wa bahari ya Hindi wachukue tahadhari na hatua stahiki huku wakiendelea kufuatilia hali hiyo a watatoa mrejeo kila itakapobidi.
Hapa iringa inanyesha muda huu mitaa ya mufindi
 
Back
Top Bottom