Ni sheria tuu itakayotekeleza yote haya cha msingi aliyeko juu anapaswa kuhakikisha hakuna mtu anayeipindisha, hapo tutaheshimiana, tutahurumiana, tutawajibishana, tutaogopa kupokea na kutoa rushwa , tutalinda rasrimali zetu, tutaaminiana katika vyama vyote na kupendana, tutajenga nchi yetu...
dira ni maisha bora kwa kila mtanzania, halafu katoa uhuru kwa kila mtu katika nafasi yake, sasa nyie uhuru huo mnautumia kwa kupiga kelele, kuongea sana na kulialia mnataka muwekewe mirija mpaka kwenye matumbo yenu? Fanyeni kazi na kama mtaendekeza na huo ujinga mnaopewa na wanasiasa nchi hii...
Watanzani acheni kuyumbishwa na wajinga wenye tamaa ya madaraka,, Rais yupo pale kwa mujibu wa katiba na sheria, unata achukue maamuzi gani wakati kuna vyombo vya sheria? Mna lalamika kuwa Rais ana madaraka makubwa halafu mnataka yeye huyohuyo afanye abebe majukumu ya mahakama? Huwezi kufanya...
hakuna lolote wanadenda kula zenu2, hata ccm wakishika mkojo wao cdm watashika mavi kuonesha tofauti, cjaona upinzani tanzania wa kiwango cha chini namna hii, na kwa kuwa cc wananchi hatuna Elimu ya uraia bs ndo tunadanganyiiiika,, vi here here hawa.. Angalia suala la posho utagundua target yao...
binadamu akatafutwe na mbwa,, hv wewe mbowe ni binadamu wa aina gani? Katika maneno yako yote umeona hy ndo nasaha? U c tuongezee machungu ya mafuriko fanya utafiti wa maneno yako , mmechoka kudharau serikari sasa mmeanza ku2dharau na cc wananchi ,pelekeni uhuni wenu huko .
Mdanganyeni2 awape tafu ya kuvuta watu kwenye mikutano kwa staili yake ya kuongea uwongo,, lakini wakati ukifika , kwanza kikumbo atakachokumbana nacho ndani ya chama chake kabla 2015 cyo kdg..lazima atambue hili ingawa c lazima aamini hili... Kwa ujumla hasa sifa za kutatua matatizo...
nimeipenda, picha zinaonesha jinsi viongozi we2 walivyokuwa na muonekano wa uzalendo halisi, yaani ni tofauti kbs na sasa, na hata ukilinganisha na picha za sasa utaona sura zimejaa unafiki na tamaa tupu
Hiyo ni mipango ya kwenye makaratasi,, utekelezaji wake ni sehemu ingine tena, ina changamoto nyingi na mapito mengi, je? Ukomavu na uvumilivu wenu utawafikisha 2015 bila kupigana vikumbo ninyi kwa ninyi?.. mna lengo zuri lakini jipangeni kitaifa acheni siasa za kulipua mabomu waelezeni...
tatizo zitto na kafulila nyie ndo mnaowalazimisha kupata umaarufu ili hali bd ni wachanga sana ki siasa, labda kwa kukurupuka na kupayuka hovyo ndo mnawaona ni majasiri? Bado sana hawa hawawezi hata kuhimili nyufa ndani ya nyumba zao. Mfano mmeona kafulila ameishia kuomba msamaha ina maana...
kwani ukishindwa ubunge ndo umeshindwa kutumikia taifa kwa majukumu mengine? Mbona mna umaskini mkubwa wa mawazo jamani? Mmeona ubunge ndiyo mwisho wa kila ki2?. Nendeni mkajifunze cyo mnakurupuka2 kama mnatoka msalani
nawapongeza lakini wajikite ktk katiba ki undani na mazungumzo yatawale mambo ya ccm na serikari watapoteza muda na hawatoa elimu bali watatoa burudani tuu masikioni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.