Mafuriko Dar. Maneno na nasaha za MBOWE Ni funika bovu

Dokoa hilo hilo moja kwenye thread hiyo linatosha, linatosha kwa sababu hakuna kiongozi yeyote aliyeshitukia ishu hiyo ya dogs.

Juma nacheka hapa sina mbavu! kuwa wazo la mbwa ndio yuko juu kuliko nyota? hakusema wahame mabondeni, hakuwashauri wasikilize TMA, anasubiri wafe? hivi waziri wa hali ya hewa wa CDM ni nani? ajiuzulu!
 
Kwa kawaida mwanadamu hufa halafu huzikwa kwa heshima, sasa tuache kusaka wafu walio chini ya vifusi tuanze kuhama hao ndugu zetu tutawatambuaje? Au tayari hawana thamani tena?
 
we ni mfuasi wa hoja ya nguvu au nguvu ya hoja?

Nyerere alikosea, vyote vinamantiki. Mi ni mfuasi wa vyote kwa mazingira ya sasa. Naona vyote ni sahihi. Nguvu za hoja, au hoja za nguvu. Mara nyingine hoja za nguvu zinarekebisha mambo.
 
Yani hilo la kutumia mbwa ndio limesababisha masifa yote hayo?
Kweli hakuna ugonjwa mbaya kama wa kupenda, unasababisha uvivu wa fikra.
 
Mi nalia na mkuu wa mkoa kwa kula michango ya g.mboto sasa anakula za mafuriko kwa nn watoa misaada wasipeleke kwa walengwa moja kwa moja kuliko kupitia mikono ya kina sadik na wengineo? Nasikia uchungu

Tatizo la baadhi ya watoa misaada wanataka publicity for their particular gain/benefit,ndo maana wanakimbilia kwa mkuu wa mkoa(regionel figure) waonekane, kuhusu kufisidi michango hiyo sawa na ilivokuwa kwa ile ya gongolamboto hiyo ni deal nyingine kwa ofc ya serikali na sidhani kama huwa ina auditing pesa za namna hii
 
Kila siku huwa nasema hapa kuwa mimi si shabiki wa chama chochote cha siasa bali ni mfuasi wa hoja za nguvu na maneno ya maana. Nimemuona Mh MBOWE Kupitia mlimani TV akitoa maneno na nasaha zake kuhusu janga la mafuriko Dar. Kamanda uko juu, uko juu zaidi ya nyota mbinguni, unawaka kuliko jua, wewe ni bingwa zaidi kuliko YANGA. Unatisha zaidi ya njaa. Mkali kuliko simba kichaa, mcharuko zaidi ya nyati aliyejeruhiwa..una sumu kali zaidi ya koboko. Pamoja na mengi uliyosema, nimeukubali ushauri wako wa kutumia mbwa maalumu wa polisi kusaka maiti ambazo bila shaka zimefukiwa na vifusi VIVA KAMANDA MBOWE

Penye nyekundu, Mbowe hawezi kuwa na sifa hizo yeye ni mwanadamu. Sikubali kumbambikizia makufuru yako mtu mwingine. Ubebe uovu wako mwenyewe.

Penye brown, ni sifa za kumdhalilisha/kumdunisha mtu. Pia sikubaliani nawe. Mbowe, F.A. anaheshima yake. Acha kumvunjia heshima kiongozi wa watu.
 
Waziri wa mambo ya nchi za nje ...ni moja wa wamiliki wa nyumba...kwenye bonde la Jangwani ...,nyumba hiyo ipo kwenye bonde la jangwani sehemu iliyopo chini ya mtaa wa mchikichini....,watu winging Wenye nyumba eneo hilo ni pamoja na mbunge zungu,diwani abuu Jumaa...na mfanyabiashara fida Hussein

Anayetaka kuona nyumba ya Membe aende mtaa huo asipite ofisini anuse kupitia wananchi wa kawaida....nyumba hiyo ya Membe kuna kipindi ilivunjwa....mwaka juzi na manispaa ya ilala ...lakini Akaijenga tena...na inasadikika amejenga guest ....au pia anaweza kuitumia kupangisha wananchi wa kawaida...

Huyo ndio Kati ya vigogo aliyewafanya wananchi wa kawaida eneo lile kupata kiburi...

Pole rais mtarajiwa kwa dhahama ya nyumba yako kuharibiwa na mafuriko...
 
Penye nyekundu, Mbowe hawezi kuwa na sifa hizo yeye ni mwanadamu. Sikubali kumbambikizia makufuru yako mtu mwingine. Ubebe uovu wako mwenyewe.

Penye brown, ni sifa za kumdhalilisha/kumdunisha mtu. Pia sikubaliani nawe. Mbowe, F.A. anaheshima yake. Acha kumvunjia heshima kiongozi wa watu.

Aaaa! Mtu kusifiwa imekuwa nongwa. Katika kusifia mtu unaweza kumlinganisha na kitu chochote. Hivyn visifa mbona vimewauma sana? Ok, basi na wewe uko juu zaidi ya mlima kilimanjaro.
 
mkuu hizo sifa! na pia mbona hajagusia hao wananchi wahame hayo maeneo..?! hana jipya mboye
 
binadamu akatafutwe na mbwa,, hv wewe mbowe ni binadamu wa aina gani? Katika maneno yako yote umeona hy ndo nasaha? U c tuongezee machungu ya mafuriko fanya utafiti wa maneno yako , mmechoka kudharau serikari sasa mmeanza ku2dharau na cc wananchi ,pelekeni uhuni wenu huko .
 
Lakini binadamu huyo huyo anafuga mbwa.
 
Mi nalia na mkuu wa mkoa kwa kula michango ya g.mboto sasa anakula za mafuriko kwa nn watoa misaada wasipeleke kwa walengwa moja kwa moja kuliko kupitia mikono ya kina sadik na wengineo? Nasikia uchungu
cdm wameshaanza kupeleka front wenyewe
 
Back
Top Bottom