Upishi wa takwimu, ni tatizo hii nchi. Sina imani na takwimu yoyote ile ndani ya hii nchi. hawaweki exact namba na wala wanazoweka haziendani na ukweli hata kidogo.
Spacing ya zao lako ikoje!!? Lazima ujue hilo ili ujue drip utanunua ya spacing ipi!???
Kisha ujue utapanda miche mingapi, hapo ndo utajua jumla ya urefu wa drip system.
Baada ya hapo ndio tutakuja kwenye mahesabu ya ukubwa wa kiwanja ili ujue utaitandaza vip hyo system.!!
Usiogope...
nijuavyo mimi, ni kuwa alimchungulia yaani (kumuona) utupu wake, ndio maana ndugu zake walichukua nguo wakaenda kinyumenyume wakamfunika. nadhan unachosemea wewe ni kitu tofaut mkuu.
hii naifaham, nilipouliza ni sehemu ipi inayoonyosha canaan kufanya hcho kitendo.
nataka nikapasome mkuu, sio kwamba napingana na kitendo hicho kuwa cha makosa,
kadhalika ndio sababu ya reuben kuondolewa haki ya mzaliwa wa kwanza, pia kuna mtoto wa daudi aliuwawa kwa amri ya sulemani kwa kosa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.