Recent content by Papy ndombe

  1. P

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje ikiwa mkuu wa kanisa akijihusisha na siasa, au ni double standard?

    Dini na siasa zote udili na watu. Siasa ni maisha ya KILA siku ikiwemo dini.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Serikali tumieni kodi ya nyumba ku-discourage ujenzi holela wa makazi na vibanda

    Hayo mambo waliweza wakoloni sie ni shaghala baghala tu mwisho wa sebule yako ni mwanzo wa chumba cha mwingine
  3. P

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu wasifu wa Aron Kagurumujuli, Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni

    Huyu ana damu ya aquiline ndo chanzo cha kifo chake
  4. P

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Kinondoni Ukiendelea kutumika itakugharimu

    Ndo yule wa aquiline hama
  5. P

    JamiiForums Tanzania Moshi: Mkandarasi atoa wiki 1 kwa Serikali kumlipa fedha zake zaidi ya Bilioni 1

    Awamu hii,na sio awamu zijazo
  6. P

    JamiiForums Tanzania Hoteli ya Mgonja? Parrot Hotel

    Vipi ujenzi ulikwisha
  7. P

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Tundu Lissu: Kama Corona ipo Tanzania, kwanini toka alipoingia Tanzania na kipindi chote cha kampeni miezi mitatu hakuvaa Barakoa?

    Si kwamba ukimwi hauwafyeki wenzetu Wana elimu ya kutosha ya afya kuliko sisi.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Tundu Lissu: Kama Corona ipo Tanzania, kwanini toka alipoingia Tanzania na kipindi chote cha kampeni miezi mitatu hakuvaa Barakoa?

    Nani kakwambia ukivaa barakoa ndo upo safe.Ishu ya corona utegemeana na ustrong wa Kinga zako za mwili
  9. P

    JamiiForums Tanzania Moshi: Mkandarasi atoa wiki 1 kwa Serikali kumlipa fedha zake zaidi ya Bilioni 1

    Haki ya mtu aipotei hata kwa maagizo.Umeingia mkataba na serikali na sio mtu
  10. P

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu alitaka Tufe, Dereva wa Lorry akakubaliana naye, Mungu akamtumia Dereva mwingine Kutuokoa

    Pana jamaa walikuwa na v8 wameovertake semitrela wamefika kwenye cabin mbele linakuja semi wangu wangu wakaingia kushoto mbele cabin ya semi wanayoovertake ile wameovertake semi A kuingia kushoto Ile kukwepa semi B ya inayokuja.Semi A ikawapush kwa nyuma semi B ikaja wakandamiza kwa mbele yaani...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Lazaro Mambosasa aondolewe Dar es Salaam

    Sio rahisi bila maagizo
Back
Top Bottom