Recent content by PapoKwaPapo

  1. P

    JamiiForums Tanzania Hivi upinzani Ni kupinga kila kitu? Wachina kuwekeza Nchini Ni juhudi za Serikali kuvutia wawekezaji

    kaka Chris Lukosi za Totenham ndugu, Nauliza kwani uwekezeji ni nini????? Mimi nafanya biashara na wewe si tunakubalia then tunalipana? Si watu wawili tu huwa wanasaini hii mikataba? Kwanini mmoja akubali kunyonywa? Najiuliza sipati majibu?ris Lukos
  2. P

    JamiiForums Tanzania CV ya Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu (Mr II)

    Mkuu may be Mr is living his dream, wake up and look for your dream. In reality Mr 2 is the biggest role model to all the youth in Tanzania. He manage to archive something from him been nothing. Personal I respect him, and is one the people I admire Go Sugu
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kiti kinaweweseka: Hoja zote binafsi sasa kujadiliwa Bunge lijalo

    Tatizo la watanzania ni hilo, kupigana na adui bila kumtambua adui yao ni nani, Kiukweli Tanzania adui yetu si Makinda, adui wetu yupo juu ya Makinda. Embu tazama kwa jicho la tatu ewe mtanzania
  4. P

    JamiiForums Tanzania Mbowe akutana kwa Dharura na Mkuu wa Jumuiya ya Ulaya Nchini

    Tunaangamia kwa kukosa maarifa, Kweli Mboye anakwenda kuishtaki serikali umoja wa Ulaya na tunajiita wakombozi kweli?
  5. P

    JamiiForums Tanzania To my fellow African

    Kipi ni kizungu mbofumbfu? Nami ana standardise? Hayo kwanza
  6. P

    JamiiForums Tanzania To my fellow African

    I your fellow brother I really wonder? Every beautifully sunrise I wonder why? I don't know why because I don't know why we don't know who we are?Why we don't questions? Why we don't ague? Why we don't research history? Why are we not wise? Why we don't trust in God? I wonder why because I...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Serikali itangaze kusitisha kwa muda mpango wa bomba la gesi toka Mtwara

    Shinyanga tunaandamana kesho, dhahabu kwanza vyama baadaye
  8. P

    JamiiForums Tanzania Mkapa ajitosa sakata la gesi, apendekeza njia ya mazungumzo kutafuta muafaka!

    Ivi mikoa mingine kama Shinyanga, Mwanza, Kilimanjaro, Arusha kwanini wasiige hii staili walikuja nayo Mtwara? Bila kusahau kwa marehemu Chacha Wangwe?
  9. P

    JamiiForums Tanzania Zitto afunga mjadala kuhusu yeye kugombea urais

    How could you people take the words of the traitor only by saying he does not want to talk about presidential position year 2013? How much his words are accountable? Why did he change his mind suddenly and for what reason? Does he agree there is no democracy in the party? How can he sit with his...
  10. P

    JamiiForums Tanzania John Mnyika anastahili kuwa mwanasiasa bora 2012

    Ben Saanane ndiye mwanasiaasa bora wa mwaka......
  11. P

    JamiiForums Tanzania Ben Saanane awatoa Mafichoni Zitto na wenzake

    Ben Saanane awe mkuu wa kikosi cha Usalama Chadema. Nafasi inayoshikiliwa na Wilfred Lwakatare.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Sumu ya Saanene - swali kwa MASALIA a.k.a PM-7

    kwanini walikubali kumpa Ben Saanane jina la Cobra? Au kwa nini alijipa jina hilo? kuhusu Zitto na hao masalia hivi kweli mtu ajaribu kuniuwa then aendelee kuwa rafiki? Yaani tuendelee kukutana na kuongea? Ingawa hakukutana na Zitto ila alikutana na best friends wa Zitto hivi kweli Zitto...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete kweli ni Jembe

    Tatizo kubwa la watanzania ni moja, mnaona utawala mbuvu wa Kikwete unawaathiri CDM huwa haturikiri kuhusu sisi kama wananchi tunaathirika vipi bali tunafikiri kama wapinzani wanaathirika vipi, Kikwete ni rais wa Tz na siyo CDM. Na mafanikio yeyote ni kwaajili yetu waTZ na siyo CDM. Tunaweza...
  14. P

    JamiiForums Tanzania UNIVERSITY OF KILIMANJARO in Kenya

    Ww ndugu mbona unatumia jina langu? Ngiwango Ndakilawe Mwomangi, ewe nyuwi?
  15. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA; Kauli za Serikali, Polisi na CCM zinapotosha, Inquest Act itumike tukio la Morogoro

    kitu gani wasichojifunza Mzee wangu?
Back
Top Bottom