John Mnyika anastahili kuwa mwanasiasa bora 2012

aaaaaaaaaaaaaaaghhhhhhhhh.....nadhani Ridhwani Kikwete......maana inategemea unaongelea ubora upi........oooops hata Mwigulu Mchemba anaweza kuingia kwenye orodha.......
 
msimsahau na huyu.................
pinda%20bunge.jpg
 
Naic hata hon.j makamba alitaka onesha ukomavu wa kisiasa na kutuwakilisha vyema vijana bila kujali itikadi ya chama ila akabadilishwa mwelekeo baada ya kupewa u naibu waziri..........😡
 
penye udhia penyeza rupia...............
 
Ona jinsi ubongo wako ulivyo na uwezo mdogo wa kufikiri, unafikiri dunia nzima ni usiku muda huu?
Btw, muulizeni CIA wenu Ben kama Zitto ana account zaidi ya hiyo iliyo verified hapa JF, na kama anayo awaambie ni ipi.

Sasa wewe ni yupi Juliana, Mwampamba, Sanga, Gwakisa au......... Maana mkija humu ni kumtetea Kigagula wenu tuu wakati yakwenu hayateteeki
 
Ndugu wana JF
Tunapokaribia kufunga mwaka wa 2012 ningependa tuchague wanasiasa bora wa mwaka 2012 kulingana na vipengele vifuatavyo... Na ingefaa sana kama MODs wangefanya POLL na ifungwe siku ya mwaka mpya na washindi watangazwe. Vipengele ni kama ifuatavyo

i) Mbunge bora wa mwaka 2012
-Tundu Lissu
-Zitto Kabwe
-Mwigulu Nchemba
-Deo filikunjombe
-David Kafulila
-J.J Mnyika

ii) Viongozi bora wa vyama vya siasa Tanzania
-Mh.Dr.J.M.Kikwete
-Mh.Dr.W.Slaa
-Mh.F.Mbowe
-Mh.Prof.Lipumba
-Mh.A.Kinana
-Mh S.Hamed

iii) Mwanasiasa bora kijana mwaka 2012( walioko jf)
-Zitto Kabwe
-Nape Nnauye
-J.J.Mnyika
-Ben Saanane
- Juliana Shonza

iv)Waziri bora
- Magufuli
-Mwakyembe
-Kagasheki
-Muhongo
-Mgimwa

NANI WAONA ANAFAA KUIBUKA MSHINDI KWA KILA KIPENGELE?
Naombeni mods mtengeneze poll kama inawezekana...
 
Ni hatari kumaliza mwaka na mibangi. Yaani na Kikwete ni kati ya viongozi bora? Hivi wewe unajua maana ya neno ubora au unaongelea uboronga? Nilipoona majina ya Kikwete na Kinana nilitaka kutapika ila nilijizuia. Hivi unaishi nchi gani? Je unafikiri kwa massaburi au mavii? Hivi hujui kuwa Kikwete ana tuhuma za ujambazi wa EPA wakati Kinana ana za kutorosha nyara? Je umetumwa au unajipendekeza ili wakujaze mabaki ya ufisadi? Je unaamini katika kile ulichoandika? Kwanini unapenda kutapisha watu? Umetumia mizania na mantiki gani kumweka hata nepi Nape Mapepe mropokaji? Ona unavyoboa unamweka hata zinzii Mwigulu Machemba! Hivi kweli wewe ni mzima au unatania? Shame on you!
 
mkuuu nimeweka bila upendeleo hakika anaehitajika ni mmoja kati ya hao..sio kwamba wanasifa hizo.. nisinge weka hata mmoja wa ccm watu wanegelonga...so nimeamua kuweka wale ninao ona afadhali maana tukienda kwa ubora hakuna wa ccm anaefaa kuwa hapo...
 
Si hekima wala haki kulinganisha mati na walio hai. Bado maelezo yako hayatoshi. Unaposhindanisha watu lazima wawe wanakaribiana kwa sifa. So bado una onus ya kuhakikisha haki.

Mwanasiasa bora ni Mh John Mnyika na Tundu lisu, kiongozi wa chama cha siasa ni Dr. Slaa, waziri ni Prof muhongo, mbunge wa humu jamvini Mnyika nampa mia kwa mia.. Pia kwa ushauri ongezea wanaharakati mfano Prof Shivji, Deus Kibamba, Nkya, Jenerali Ulimwengu, ushauri tu lkn
 
Si hekima wala haki kulinganisha mati na walio hai. Bado maelezo yako hayatoshi. Unaposhindanisha watu lazima wawe wanakaribiana kwa sifa. So bado una onus ya kuhakikisha haki.

Ngoja tumuache hapo ili akipigiwa kura kwenye poll..aibuke na kura ya sifuri ajue kuwa mwaka huu kaharibu...after all nahitaji iwe poll ili matokeo yaonekane mwisho najua wanaJf watachagua mtu anaestahili sifa hizo kwa kila kipengele
 
Ndugu wana JF
Tunapokaribia kufunga mwaka wa 2012 ningependa tuchague wanasiasa bora wa mwaka 2012 kulingana na vipengele vifuatavyo... Na ingefaa sana kama MODs wangefanya POLL na ifungwe siku ya mwaka mpya na washindi watangazwe. Vipengele ni kama ifuatavyo

i) Mbunge bora wa mwaka 2012
-Tundu Lissu
-Zitto Kabwe
-Mwigulu Nchemba
-Deo filikunjombe
-David Kafulila
-J.J Mnyika

ii) Viongozi bora wa vyama vya siasa Tanzania
-Mh.Dr.J.M.Kikwete
-Mh.Dr.W.Slaa
-Mh.F.Mbowe
-Mh.Prof.Lipumba
-Mh.A.Kinana
-Mh S.Ahmed

iii) Mwanasiasa bora kijana mwaka 2012( walioko jf)
-Zitto Kabwe
-Nape Nnauye
-J.J.Mnyika
-Ben Saanane
- Juliana Shonza

iv)Waziri bora
- Magufuli
-Mwakyembe
-Kagasheki
-Muhongo
-Mgimwa

NANI WAONA ANAFAA KUIBUKA MSHINDI KWA KILA KIPENGELE?
Naombeni mods mtengeneze poll kama inawezekana...

Huu ni upuuzi mtupu hatuwezi kupoteza muda kuwapigia kura watu kama shonza ambaye jina lake ndio nimelifahamu juzi kwenye hii skendo ya ben saanane. Vile vile ni kwa kigezo gani umemweka Kikwete kwenye kiongozi bora? Na huyu Mh. Ahmed ndio nani? Sijapata kumsikia kamwe au ni mumeo? Mwigulu mchemba na Filikunjombe mavuvuzela ya magamba for what? Be serious or else you must be joking. Kwenye mawaziri bora umejitahidi japo nina wasiwasi endapo kagasheki anastahili kuwepo hapo. Mwanasiasa bora kijana hapa tanzania ni kamanda wa m4c Godbless Lema kwa mtazamo wangu lakini naona kwenye list hujamweka.
 
Shonza ni mnyama gani yarabi? Ni jina la mkeo au mshikaji wako nini? At least siko peke yangu kuliona hili.

Back
Top Bottom