Recent content by Papito KInduki

  1. Papito KInduki

    Sheria gani inahalalisha ndugu wa damu kuwa katika ndoa?

    Nimepitia nyuzi kadhaa za kisheria juu ya maswala ya ndoa katika jukwaa hili, nimeona maswala mengi yamejadiliwa na kufafanuliwa na wataalamu wetu ndani jumba hili. ahasanteni, binafsi kuna ninachookota hasa tk kusimamia familia. Lakini naomba kujulishwa juu ya :- 1. Ikitokea ndugu wakioana...
  2. Papito KInduki

    Kampuni zinazohusika na kutengeneza pesa

    Ukiina pesa mpya Ujue hayo ni makalatasi tu Rejea majibu yangu hapo juu Hazitakuwa na namba. Ndio maana Kuna wakati akitokea mjinga mmoja aliyengeneza noti hukamatwa mara Moja kwasababu hazitakuwa na security sign Namba zinaweza kufanana n.k
  3. Papito KInduki

    Kampuni zinazohusika na kutengeneza pesa

    Hapana hazisafirishwi kwa meli. Husafirishwa kwa ndege za mizigo Na zinapokuja zile noti Huwa ktk mtindo kama mkanda mmoja mrefu. Zikifika hutolewa na magari maalumu zikiwa kwenye makasha na hupelekwa bank kuu moja kwa moja Huko huanza kugongwa namba kwasababu zinapokuja Huwa hazina namba...
  4. Papito KInduki

    Wapi naweza pata wafanyabiashara wa bidhaa hizi ambao wako tayari kuuza bidhaa zao kwa wingi zaidi ila kwa mkopo wa muda mfupi?

    Sasa akikopesha hivyo yeye atapataje profit ktk materials zake? Atalipaje wafanyakazi?
  5. Papito KInduki

    Alama/ logo ya Nyoka katika fimbo kwenye mambo ya afya ina maana gani?

    Nikiwa ktk Lock Down na familia yangu napata muda wa kupitia kulasa za WADAU mbalimbali wa afya ili niweze kupata elimu zaidi ya maradhi mbalimbali ikiwemo COVID-19 mwenyezi MUNGU atuhurumie... Lakin chaajabu karibu kila mdau wa afya niliepia kulasa zake nimekuwa nikiona Alama ya nyoka kwenye...
  6. Papito KInduki

    Hivi unajua unaweza kutumia akili kidogo tu ukapata pesa nyingi?

    Mii nilishafanya hii biashara ya kukodisha vitu tangu mwaka 2001-2003. Karibu na pale mbezi Sasa kimejengwa kituo Cha mabasi. Niliweka mashine za kupiga matofali, vibao vya matofali, manailoni ya kufunika matofali ikija mvua. Pia nilikuwa na welding machine 4 niliziweka hapa Sinza kwa Remmy Sasa...
  7. Papito KInduki

    Nailazimisha furaha . . . nani wa kunifuta machozi.

    Jamani huu wimbo nazitafuta Sana. Unaitwaje? Nani mwenye nao?
  8. Papito KInduki

    Unahitaji kujengewa green House

    Kwa mahitaji ya Kujengewa kitaru nyumba (Green House) Kutunziwa Green House. WhatsApp namba +255 620 435 195
  9. Papito KInduki

    Nahitaji wateja wa mbogamboga "Organic"

    Habari wanajukwaa. Mimi ninalima mazao kwa mfumo wa kutumia mbolea za asili, situmii mbolea za kisasa. Ninalima katika Green House na Open Farm. Kwasasa mazao yangu yanakaribia kuwa tayari yaani kukomaa.. Ninatarajia kuanza kuuza Matango, Bamia, Nyanya, Hoho Nyekundu, Mapapai n.k Ninatafuta...
  10. Papito KInduki

    Biashara inayokwisha na biashara isiyoisha

    Kama kuosha gari ukapata jela Kama kuosha gari ukalipwa pesa ni service, je mjumbe wa nyumba kumi mtaani kwenu itaitwaje? Mfano ninaamua kupanga ardhi kwa mkataba wa miaka 70 na serikali, kisha nikajenga barabara imara toka Dar mpaka Morogoro, nikaweka points za kulipia kwa anaepita. Biashara...
  11. Papito KInduki

    Biashara inayokwisha na biashara isiyoisha

    Nimefanya biashara hii kwa miaka 5, nikaiacha. Naifahamu. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Papito KInduki

    Biashara inayokwisha na biashara isiyoisha

    Unarudisha kutengeneza upya. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Papito KInduki

    Biashara inayokwisha na biashara isiyoisha

    Huduma haina kipato.. Biashara isiyoisha inakuingizia kipato. Tena huyu anaefanya biashara isiyoisha ndio moangaji wa bei. Yaani anauza kwa bei anayotaka iwe sokoni. Ukifikiria kwa makini utaona ninachomaanisha Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Papito KInduki

    Biashara inayokwisha na biashara isiyoisha

    Kumbuka kule unakokwenda kulangua ni kwa producer. Kwahiyo umesuport kwamba producer atauza kwa wingi na kwa kila mara, sababu ukishauza utarudi tene kwake. Sasa wewe retailer unahitaji transport, muda wa kusubiri mteja, so utatakiwa kuwa na sehemu ya kuuzia bidhaa, na zaidi itakupasa kuwaamnia...
  15. Papito KInduki

    Biashara inayokwisha na biashara isiyoisha

    Ni kweli kuibiwa au risk ktk biashara zipo, lkn mimi nimeongelea ktk uendeshaji wa biashara. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom