Recent content by papirto

  1. P

    Je, unazijua sifa za mtu kuwa mlinzi wa Rais?

    Humu ndani bora uwe msomaji zaidi kuliko mchangiaji zaidi,changia kitu ulicho na uhakika nacho,nimesoma Uzi wote,shukrani kwa waliochangia.
  2. P

    Bifu lazidi kupamba moto: Baby madaha amchana tena diamond baada ya diamond kumdiss

    Mi si mpenda majungu,ila nadhani mafanikio ya mtu utayaona tu kwa kazi zake,the more fans u have the more success u get..huwezi pata shows nyingi sehemu mbali mbali kama si watu wamekubali kazi zako..the more shows,more money..diamond has that..madaha yuko chini ya management..technically she is...
  3. P

    Natafuta mwanaume wa kuzaa nae

    Watu mnapenda vya bure hasa kwenye hayo mambo..
  4. P

    gari gari gari 5.5 milion

    Maelezo hayajitoshelezi
  5. P

    Alisababisha nikafukuzwa shule miaka 19 iliyopita, Sasa hivi anadai ananipenda

    Bora aendelee kuchungulia tu..alichungulia akafukuzwa shule..je akiona kabisa?
  6. P

    Alisababisha nikafukuzwa shule miaka 19 iliyopita, Sasa hivi anadai ananipenda

    Labda ndio njia panda aliyopo..kapewa ruhusa kuangalia bado anataka kuendelea kuchungulia..bora afanye fasta wasije potezana tena kabla hajaona alivhokuwa anataka kuchungulia.
  7. P

    Alisababisha nikafukuzwa shule miaka 19 iliyopita, Sasa hivi anadai ananipenda

    Hahahaha..she is lonely nothing else..naona kioo hakitoshi mpeni na site mirror..
  8. P

    Msaada mweye kujua bei ya betri ya iphone 4.

    Mi najua original hazina betri,na hata siku moja sijaaikia iphone inatatizo la betri.kwa upeo wangu labda kama sijui vizuri.
  9. P

    Daladala: Kimara 1000, Mbezi 1500 - Shukrani Wabunge wetu, Sumatra na H/Jiji

    Maisha bora kwa kila mtanzania..inasikitisha.
  10. P

    TAMKO rasmi la Ndugu Zitto Z. Kabwe kuhusiana na kinachoitwa "Taarifa ya Siri ya CHADEMA"

    Ile ripoti imehusisha watu wengi,ichukuliwe kama intelligence tip,achunguzwe ikidhihirika ina ukweli basi chama kichukue hatua..kama alikuwa ana play smart,he can't be smart all the time..I was his fan since 2005 to 2010,that time he was really ZZK,since then he started talking a lot with less...
  11. P

    Zitto awataja mafisadi wa mabilioni ya Uswisi!

    We need facts and evidence Mr zitto..bado ngumu kumeza,poor ripoti.
  12. P

    TAMKO rasmi la Ndugu Zitto Z. Kabwe kuhusiana na kinachoitwa "Taarifa ya Siri ya CHADEMA"

    Defense mechanism yake ni poor..at least angetumia strategy ya kutoa ripoti ya alichoenda kufanya ulaya,then tungejua kweli anatetea mali za wananchi,ripoti hata kama ni cooking report,imejaa facts and evidence,jibu kwa facts and evidence pia,sio kukanusha just easily like that..I guess someone...
  13. P

    TAMKO rasmi la Ndugu Zitto Z. Kabwe kuhusiana na kinachoitwa "Taarifa ya Siri ya CHADEMA"

    Walioandika ripoti wamekuja na facts na evidence,anapojibu aje na facts na evidence pia,majibu yake hayajitoshelezi,we can't be fooled all the time..weak defense mechanism..
Back
Top Bottom