Recent content by papaupanga

  1. P

    Kama Nyomi ya watu katika mikutano ya UKAWA

    Ndugu wana jamvi kwa muda mrefu ukianzia na nyomi/mafuriko ya wananchi wanaowaunga Ukawa siku ya Mgombea wao alipoenda kuchukua fomu tume ya uchaguzi, na mpaka sasa. Kumekua na kauli kuanzia kutoka kwa mwenyekiti wa ccm na wanaccm wengine na jana tumemsikia Emmanuel Nchimbi kua, siyo picha...
  2. P

    Rais Kikwete amtaja mhusika wa Richmond

    Kumchagua JK kama rais wao, ni kosa kubwa watanzania walifanya ambalo litawagharimu wa Tanzania kwa miaka mingi ijayo. JK is the most myopic president I had ever seen in all my life. SHAME ON HIM
  3. P

    Updates kutoka Uwanja wa Mashujaa Mtwara: Mkutano wa Kampeni za mgombea Urais CCM

    Ukimsikiliza makufuli na ahadi zake utasita kuamini kwamba kabla hajapanda jukwaani, anapiga mjani maruana
  4. P

    Shilole akutana na Rungu la BASATA, Afungiwa mwaka mmoja kujishughulisha na shughuli za sanaa

    Basata wamefanya kitu cha maana. Kuna siku niliamua nitumie kama dk 30 kuangalia shoo mbali mbali za Shilole kupitia youtube sijaona kitu chochote cha maana zaidi ya stlye za kungonoka. Ambazo kwa wenzetu wanazifanyia kwenye Adult Entertsainment Clubs
  5. P

    10 African countries with most beautiful women

    Have you ever visited Namibia? I advise you to do so and review your ratings
  6. P

    Hivi ukipigiwa simu kwa 'wrong number' lazima utukane!?

    Wrong number call zingine zimewafanya watu kupata wapenzi
  7. P

    Wanaume wa Dar katika kashfa nyingine tena

    Una uhakika gani kua wanaume wote waliokua kwenye dala dala ni wa Dar? Labda wengine ni wa kutoka mikoani tongo tongo bado hazijawatoka
  8. P

    GE2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

    Watu wamagamba wataifanya hii thread ijisokote sasa hivi
  9. P

    Mwanamke wa Kuchat nae

    Habari, Nipo Dubai natafuta mwanamke wa kuchat nae na kubadilishana mawazo. Kama Uko Dubai, Sharjah, Deira ni PM
  10. P

    Viti Maalumu Singida: Martha Mlata, Chilolo kugombea kiti kimoja na Wema Sepetu

    Sasa kama ameshawahi kuongea openly kwenye TV kua alishawahi kushusha injini embu pata picha ni aina gani ya mbunge mtakae kua nae.
  11. P

    Biashara ya copper

    Mwambie huyo buyer atume detailed letter of intent to Tanbiz Export & Trade Ltd sisi ni broker ila 20% inabidi usahau is too much kumbuka ata sisi ni middlemen we need commission.
  12. P

    Biashara ya copper

    tuma inquiry yako to: tanbizexport@gmail.com nina mandatory na copper cathodes from Namibia.
  13. P

    Ray Kigosi: Thus Why I'm So Wonders

    Ata sub headings nyingi ktk movie zake ni makorokocho matupu
  14. P

    Nisikilizeni CHADEMA: Tatizo ni UKAWA, Hili ndilo chaguo langu la rais wa 5

    Jacline1 acha kuandika utumbo ni nani aliekuroga kua mamvi anapendwa na wengi? Akili kubwa inapojadili mambo ya maana, wewe chukua kopo uelekee maliwatoni manina zako
Back
Top Bottom