Recent content by Papaa Gx

  1. Papaa Gx

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba kutinga mchana huu Stand ya Magufuli. Kutatua mgomo wa madereva

    Alianza Msando, akaja na ubabe wake. Mtu unaenda kutatua kero alafu unaleta ubabe. Ile kauli yake ya kupeleka magari yard ilikuwa ya kipumbavu sana. Hii nchi ina viongozi wa ajabu sana.
  2. Papaa Gx

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa mabasi wanapaswa kuwafukuza kazi madereva wote walio gomea kuendesha magari yao

    Nyie ndio maana Heche anawambia kichwani kumejaa mavi
  3. Papaa Gx

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Aisee hii ni hela
  4. Papaa Gx

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Nilisema mapema kabisa, hamna kocha mule. Kocha wa kwanza kitimuliwa atakuwa Lampard kisha atafuata Alonso.
  5. Papaa Gx

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mabeki wote pale Chelsea ni matakataka
  6. Papaa Gx

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    January tunapaswa kusajili beki wa maana atakae saidiana na LaCroix wale matakataka ambao ako nao kule nyuma wana muangusha sana. Pia na kiungo (DM) tunapaswa kusajili.
  7. Papaa Gx

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mkumbuke niliwambia mapema kabisa, kwamba huyu Alonso sio kocha ni takataka tu.
  8. Papaa Gx

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Alonso ni takataka, mtakuja kunikumbuka.
  9. Papaa Gx

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Wana roga
  10. Papaa Gx

    JamiiForums Tanzania Ni mchakato wa aina gani hutumika kumpata mwenyekiti wa CCM

    Hakuna cha mchakato, we jua kuwa atakae kuwa rais automatically ni mwenyekiti wao
  11. Papaa Gx

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Heche kwa BAVICHA Jijini Dodoma ni moto wa kuotea mbali. Heche angekuwa na Bei CCM wangempa hata Bil 1

    Lile jamaa lina akili mpaka unalionea huruma.
  12. Papaa Gx

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mudryk sio takataka
  13. Papaa Gx

    JamiiForums Tanzania Wachokonozi: Polisi wanakuja kukukamata wanasema, "Tumeagizwa"; ukiuliza kosa, wanajibu, "Utajulia mbele

    Sio wana hisi, ni kweli wapo juu ya sheria, kwani uongo?
Back
Top Bottom