Recent content by PAPA TAJI

  1. P

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu mambo vipo?kuna anaetumia 1XBET?vipi option ya kuwithdrawal kupitia Vodacom inakubali kwenu?maana kwangu sijaweza kutoa pesa tangu niisajili mwezi huu!nyie mnafanyaje?
  2. P

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    msaada wakuu kila napojaribu kudownload app ya kubetia mfano 1xbet,paripesa…naletewa hiyo taarifa,nashindwa kubeti nifanyeje?
  3. P

    JamiiForums Tanzania Sir Samwel: Naingiza kuanzia 5 - 50 Milion kupitia Forex

    ukitia bidii kila kitu kinawezekana
  4. P

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ambacho hauna lakini Watu wanadhani unacho?

    watu hufikiri nina kipara kwa sababu muda wote ninavaa kofia
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kuomba mchango wa harusi ni matusi makubwa

    kuna jamaa mtaani alichangisha micha ngo ya harusi watu tukajua anaoa kweli…la haula mwisho wa siku kakimbia na pesa zote
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kilevi gani kizuri kwa wanaoanza?

    anza na frying fish kisha hamia balimi
  7. P

    JamiiForums Tanzania Makundi AFCON 2025, Tanzania yapangwa Kundi C dhidi ya Nigeria, Tunisia na Uganda

    tuanze kupiga hesabu za kwenye makaratasi mapema
  8. P

    JamiiForums Tanzania Despite MTVMAMA2015 Awards, Kiba is still more talented than Chibu

    msijali mbona baado jaman...mtanyooka tu
  9. P

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Yake yake acha akae
  10. P

    JamiiForums Tanzania Ukitaka usizeeke mapema, fanya yafuatayo

    Kula ndimu/limao
  11. P

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutendwa, uliweza kupenda tena kwa kiwango cha juu zaidi ya kile cha awali?

    nlivyoachana na mpnz wang wa kwanza,nkampata mwngne nlyempenda sanaa...kwahyo haijalsh
  12. P

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    hamna cha diamond kwa wema
  13. P

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Maproducer wakali wa zamani

    Naskia yuko nje ya nchi
  14. P

    JamiiForums Tanzania Miss Tanzania - By Solo Thang: Wimbo bora wa Hiphop Bongo

    Hapo alikua anaizungumzia tanzania bila shaka
Back
Top Bottom