Despite MTVMAMA2015 Awards, Kiba is still more talented than Chibu

Dunia ya leo kipaji cha kweli ni kile kinachogeuzika na kuwa PESA.............Period
Kama unazungumzia kuwa na vocal nzuri kweli Diamond hamuwezi Kiba lakini kama unazungumzia kipaji kwa ujumla wake basi Kiba hamuwezi Diamond

Diamond amefaulu sababu anajua kukitumia kipaji chake "kidogo" kutengeneza pesa wakati Ali kiba anakitumia kipaji chake "kikubwa" kusifiwa anaweza.

Diamond ameajiri watu kama 15 hivi na wanamaisha mazuri kupitia kipaji "kidogo" alichonacho
Mameneja wanne(si mchezo kuwaachisha wajanja kama tale na fela kazi zao)
Mpiga picha na mwana mavazi wake
Dj wake na Mlinzi wake
Madansa wake kama watano, mind you dansa wa Diamond anaingiza pesa ndefu kwa mwaka kuliko "the more talented King Kiba"

King kiba the more talented artist amelala usingizi wa pono, hajui thamani yake hajui atumie vipi mashabiki wake ambao niwengi hapa bongo kuliko wa Chibu
Hajui atumie vipi fursa ya kupendawa hadi kupitiliza na die hard fans wake hata kama ataamua kulala tu na asitoe hit yoyote, achilia mbali sapoti kubwa nayopata kwa kutoa mivideo mibovu bovu iliochelewa
Media zilikaribu kumbeba lakini wapi, mashabiki wanatoa sapoti yakufa mtu lakini wapi, sijui hata kama trace wanaicheza tena ile video isee

King kiba hawatendei haki kabisa mashabiki wake kama wewe mleta mada, maana badala ya kuwa mnasifia kazi za King ambapo kimsingi hazipo, sasa mmeamua kuwa wakosoaji wa Chibu kama njia yenu ya kujifariji

Usichokijua kuhusu soko la muziki kimataifa lipo kwenye kolabo, ukiachilia nyimbo za mwaka juzi unaweza kunitajia wimbo ambao Davido kaimba solo? Most of them kapiga kolabo
Muziki wa Afrika ni nchi mbili tu Nijeria na South Africa
Ameanza nijeria kahamia south cha msingi ni kumake money

Sasa wewe endelea kumshauri Kiba asifanye kolabo asubiri fiesta na ktma wakati kipato hamfikii hata dansa wa diamond anayepiga kolabk na wanaijeria

Angalau kilimanjaro music award tour imekuja walau tutamsikia sikia king kiba
 
We mchawi gan! Umetokea wap???? Et collabo! Vp kuusu bumbum iliyokua nominated mtv??? Mdogomdogo iliyoshinda tuzo ya best african intertainer ya marekani????? Ntampata wapi saiv imekua nominated tuzo za African intertainment???? We mchawi wawap ww???? Iv unafatilia mziki wa Africa kwel au unakesha na kibakuli wako mbugani kulinda tembo?????? Tangu mwaka juz mnasema time will tell chibu atashuka na kiba atapanda mbona sioni huo muujizaa??????? Mtu mnahangaika kumsukuma karbia miaka 2 saiv atak kwenda, kibakuli hana nyota ya u-international alipata fursa kwa Rkelly akaichezea kurud, kama angekua talented izo nyimbo zake mbili alizotoa aliporudi kimziki(mwana na chekecha) zingevuka boder bt pamoja na kuzisambaza tv za nje zote zilipgwa nakuwekwa kapuni cku iyoiyo, acha uchawi ndugu yang epuka KUNYOOSHWA

gazeti lote la nn hili na ni kweli dai bila davido au niger asingekuwa nominoted tuzo za nje davido makes daimond asimame mwenyewe tuone
 
Mleta mada kilaza sana.

1. How do u break bounderies without foreign partnerships/collaborations ??

2. Collaborations with other potential artists will enable him to widen his fan base and leverage on their success hence he gets to rise much quicker. (working smart not harder)

Faida ni nyingi....i had a long day can't write them all. Think before u post.

we hata mziki ufuatilii joh makini (nusunusu) siachani nawe by barakah da prince wametusua wenyewe na nyimbo zao zinapigwa nje huko
 
gazeti lote la nn hili na ni kweli dai bila davido au niger asingekuwa nominoted tuzo za nje davido makes daimond asimame mwenyewe tuone
Bila Nyerere mkapa asingekuwa rais na bila Mkapa,Amani Karume asingekuwa Rais,bila kikwete Shein asingekuwa rais zanzibar bila kikwete kukata magufuli asingekuwa president candidate.
Refer second law of motion bila kuwezeshwa na waliokutangulia huwezi kusogea
 
Yes... ni ukweli just like the way diamond did with my number one kabla ya kumshirikisha davido na wimbo ukaingia hadi kwenye top ten #1

Lakini bishara ya mziki ni ukiijuwa hupati shida,

""make them want to listen to you before they like you or know you""

Hiyo ndio principle yake, na ujuwe tu wimbo kuwa played vituo vikubwa sio mwisho wa kila kitu

Maana nyimbo ni nyiingi mnoo zikiwembo za wanaija, lakini kama ni tuzo wanachahuliwa wa5 bora kati yao
 
we hata mziki ufuatilii joh makini (nusunusu) siachani nawe by barakah da prince wametusua wenyewe na nyimbo zao zinapigwa nje huko

Hivi nyimbo kupigwa nje au kushika chat nje ndio kutusua?

Mbona bongo wasanii wengi tu nyimbo zao zimepogwa sana nje na kushika chat lakini bata hela ya sigara anagongea?
 
Dunia ya leo kipaji cha kweli ni kile kinachogeuzika na kuwa PESA.............Period
Kama unazungumzia kuwa na vocal nzuri kweli Diamond hamuwezi Kiba lakini kama unazungumzia kipaji kwa ujumla wake basi Kiba hamuwezi Diamond

Diamond amefaulu sababu anajua kukitumia kipaji chake "kidogo" kutengeneza pesa wakati Ali kiba anakitumia kipaji chake "kikubwa" kusifiwa anaweza.

Diamond ameajiri watu kama 15 hivi na wanamaisha mazuri kupitia kipaji "kidogo" alichonacho
Mameneja wanne(si mchezo kuwaachisha wajanja kama tale na fela kazi zao)
Mpiga picha na mwana mavazi wake
Dj wake na Mlinzi wake
Madansa wake kama watano, mind you dansa wa Diamond anaingiza pesa ndefu kwa mwaka kuliko "the more talented King Kiba"

King kiba the more talented artist amelala usingizi wa pono, hajui thamani yake hajui atumie vipi mashabiki wake ambao niwengi hapa bongo kuliko wa Chibu
Hajui atumie vipi fursa ya kupendawa hadi kupitiliza na die hard fans wake hata kama ataamua kulala tu na asitoe hit yoyote, achilia mbali sapoti kubwa nayopata kwa kutoa mivideo mibovu bovu iliochelewa
Media zilikaribu kumbeba lakini wapi, mashabiki wanatoa sapoti yakufa mtu lakini wapi, sijui hata kama trace wanaicheza tena ile video isee

King kiba hawatendei haki kabisa mashabiki wake kama wewe mleta mada, maana badala ya kuwa mnasifia kazi za King ambapo kimsingi hazipo, sasa mmeamua kuwa wakosoaji wa Chibu kama njia yenu ya kujifariji

Usichokijua kuhusu soko la muziki kimataifa lipo kwenye kolabo, ukiachilia nyimbo za mwaka juzi unaweza kunitajia wimbo ambao Davido kaimba solo? Most of them kapiga kolabo
Muziki wa Afrika ni nchi mbili tu Nijeria na South Africa
Ameanza nijeria kahamia south cha msingi ni kumake money

Sasa wewe endelea kumshauri Kiba asifanye kolabo asubiri fiesta na ktma wakati kipato hamfikii hata dansa wa diamond anayepiga kolabk na wanaijeria

Angalau kilimanjaro music award tour imekuja walau tutamsikia sikia king kiba

hamna point uliyoandika zaidi ya ushabiki ungejua hao madancers body guard na mamenager na ma dj wanapataje pesa kupitia dai usingeandika huu upuuzi
sasa video gani ya dai imechukua tuzo mwaka huu nje kama anafanya video nzuri au ushabiki maandazi akikosa tuzo anataka kushushwa na richmavoko na belle 9 mbona wapo kimyaaa domo hajielewi yule
 
Chibu Is A "Very Coward Artist".He Can Never Stand By Himself And Make A Hit-Song Without Backed Up By Nigerian Artists.For That Reason He Has No Legitimacy Of Being Classified As An International Artist.They Are Nigerians Who Made Him The Way He Is Today.Without Nigerians Chibu Is Totally An "Up And Coming Poor Artist"

Chibu Is Always Forcing To Make More Collabos Just To Keep Him On Top.And In Couple Of Years To Come.This Scenario Will Eventually Cost Him Too Much.Within A Year Chibu Has Already Made More Than 10Collabos.And Most Of These Collabos He Has Made, Performed Very Poorly.Look What He Did In "Africa Rising( Davido)", " Alive(Bracket)" e.t.c.You Will Admit That He Is NOT An "International Artist" BUT A "Low-Level-Local Artist".

Unlike Kiba Who Is More Talented, More Vocalist, Self-Cofindent, Well And Careful Organized Who Believe In Gradually Step By Step Progress But Sustainable.Kiba Knows What He Is Doing.And He Doesnt Want To Rush Into Artifical Success.

Believe Or Not But Time Will Tell..!

king king kiba my as......sss mtanyoka na bado
 
Bila Nyerere mkapa asingekuwa rais na bila Mkapa,Amani Karume asingekuwa Rais,bila kikwete Shein asingekuwa rais zanzibar bila kikwete kukata magufuli asingekuwa president candidate.
Refer second law of motion bila kuwezeshwa na waliokutangulia huwezi kusogea

nonsense what is ur point kwani ma nazungumzia siasa hapa
 
hamna point uliyoandika zaidi ya ushabiki ungejua hao madancers body guard na mamenager na ma dj wanapataje pesa kupitia dai usingeandika huu upuuzi
sasa video gani ya dai imechukua tuzo mwaka huu nje kama anafanya video nzuri au ushabiki maandazi akikosa tuzo anataka kushushwa na richmavoko na belle 9 mbona wapo kimyaaa domo hajielewi yule

utanyokaa tu hakuna namna sasa eeeh
 
gazeti lote la nn hili na ni kweli dai bila davido au niger asingekuwa nominoted tuzo za nje davido makes daimond asimame mwenyewe tuone

Ref Law of motion

Hata Michael Jackson aliwezeshwa

Btw NTAMPATA WAPI yenye viewers zaidi milion 4 Youtube imetesa mbaya machat makubwa Africa vya kutosha amemshirikisha nani vile?
 
Back
Top Bottom