Recent content by Papa Sam

  1. P

    Kwiro Secondary imo kwenye msiba mzito.

    Kwiro Sekondari ipo Mahenge wilayani Ulanga Mkoani Morogoro, ilianzishwa na Wamisionari Wakikatoliki ikiitwa ST Francis mwaka 1954, ni shule kubwa sana na nimaarufu sana kwa wale waliokua masomoni miaka ya mwanzoni mwa sitini hadi tisini, kidogo ujio wa sekondari za kata umepunguza umashuhuri...
  2. P

    Kwiro Secondary imo kwenye msiba mzito.

    Alipata skendo ya kufanya matusi na wanafunzi wake wakike, akatumikia sehemu ya kifungo akiwa Morogoro akahamishiwa UKONGA Maana kilikua ni kifungo kirefu nadhani miaka 30.
  3. P

    Mpasuko Chadema waibukia mkutanoni

    Tumaini unaweza kuwa kweli lakini si kila tabiri huwa kweli mengine ni dua tu. ZINGINE NI TABIRI NA MAONO KAMA yA shehe Yahya Husein. Kuiombea CHADEMA iPARANGANYIKE HUJAANZA WEWE , WALA mafisadi, Mrema bali imeanza na kina Mabere Marando na NCCR YAO MIAKA HIYO, KINYUME WAKAANGUKA WAO chadema IKO...
  4. P

    Waraka wasambazwa kuitafuna CCM 2010, kanisa Katoliki laukana

    nimeedit hayo maneno , and i leave as u kindly requeted me to do so.
  5. P

    Waraka wasambazwa kuitafuna CCM 2010, kanisa Katoliki laukana

    busara yako iko matakoni.
  6. P

    Huyu ni nani?

    huyu Jamaa alitoa Gari tatu aina ya Land Rover pale Uwanja wa Jamuhuri pamoja na mafuta ya kampeni ya CCM mkoa wa Morogoro baada ya JK kuhutubia mkutano mkubwa wa kampeni ndani ya uwanja wa Jamuhuri mwaka 2005 mwezi October, kisha akatoa Offer ya mafuta kwa gari hizo tatu kwa msimu wote kwa...
  7. P

    Mpasuko Chadema waibukia mkutanoni

    CHADEMA NI CHAMA IMARA, Zito ni Naibu Katibu Mkuu , mimi sioni kama kuna tatizo ziiito kama ambavyo mleta hoja anavyotaka kutuaminisha. mafisadi tu mnaweweseka, CHADEMA ipo Imara sana.
  8. P

    Kwiro Secondary imo kwenye msiba mzito.

    kwa waliosoma Kwiro Sekondari, kuanzia miaka ya mwishoni mwa 1980 bila shaka mnamkumbuka mwalimu Manda, alikua mwalimu wa Mathematics KIDATO CHA TATU, hatunaye tena , amefariki dunia juzi tarehe 08/01/2009 kwa ugonjwa wa Tumbo , mpaka kufariki kwake alikua mwalimushuleni pale, na ndio aliekua...
  9. P

    Huyu ni nani?

    Mwanakijiji hili nalo linafikirisha. .....then acha niendelee kufikiri.
  10. P

    Made in Tanzania

    mawazo ya kimapinduzi, hakuna watekelezaji, nnchi yenye rais anaefat bembea Jamica, nnchi yenye kiongozi anaeamini kua bila misaada ya kifedha toka maghalibi hawezi kuleta maendeleo yoyote, tuna raisi anayehusudu vya watu kuliko wakati mwingine wowote
  11. P

    Umoja wa upinzani? Lini utakuwepo

    ni Idea nzuri, lakini kwenye muktadha wa Muungano wa vyma vya siasa nakuambia ukweli kua hauna haja wala maana, kama ulikua na maana kulikua na haja gani kuanzisha vyama hivi, maana kama CUF anaitikadi, CHADEMA wanaitikadi nyingine tofauti, sasa itadi kuziunganisha ni ngumu, unapoenda kugombea...
  12. P

    Umoja wa upinzani? Lini utakuwepo

    kwani biashara ya Pombe ni haramu...wewe ni mjinga na punguani . kudaiwa na NSSF kwani ni wizi.....hauko kisasa. Lakini ni kiongozi makini mwenye historia ya kua mbunge....... Sikila msomi anakarama ya uongozi, unadhani kuwa profesa ni uongozi. Bado naamini Libumba ni kiongozi asie faaa katika...
  13. P

    Umoja wa upinzani? Lini utakuwepo

    ndio tatizo liko hapo, hampendi kuambiwa ukweli na vyama vyenu mfu na kina Lipumba wenu vimeo, ili uweze kusonga mbele ni vyema ukaujua ukweli kutoka kwa mtu mwingine.....tusema ukweli, ukiacha uenyekiti wa CUF lipumba amewahi kuongoza nafasi gani kisias, hawa si viongozi, wanavigeuza vyama...
  14. P

    Umoja wa upinzani? Lini utakuwepo

    Walipiga kelele za furaha kufurahia propaganda za CCM kuaminisha UMMA kua CHADEMA ilimuua Wangwe, hapa inatafsiri moj a kua, hupati kuungwa bila chadema kuchafuka Kwanza. Kudhani kwamba kila mkazi wa maeneo ya pwani kua anaipenda CUF.....MIMI NIKO HUKU MTWARA, ambako viongozi wengi wa CUF...
Back
Top Bottom