Kwiro Secondary imo kwenye msiba mzito.

Papa Sam

Senior Member
Joined
Jan 10, 2008
Messages
102
Likes
0
Points
0

Papa Sam

Senior Member
Joined Jan 10, 2008
102 0 0
kwa waliosoma Kwiro Sekondari, kuanzia miaka ya mwishoni mwa 1980 bila shaka mnamkumbuka mwalimu Manda, alikua mwalimu wa Mathematics KIDATO CHA TATU, hatunaye tena , amefariki dunia juzi tarehe 08/01/2009 kwa ugonjwa wa Tumbo , mpaka kufariki kwake alikua mwalimushuleni pale, na ndio aliekua amebaki baada ya kuondoka kwa mwalimu Mwanamilembe Uamisho, kufariki kwa mwalimu huyo kunafanya idadi ya walimu waliokufa tangu mwaka 2000 kufikia watatu baada ya kufariki kwa mwalimu Kapangua,Senyagwa...alifia jela Ukonga...
Mungu ailaza mahala pema peponi roho ya marehemu Manda na hao wengine.
 

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Messages
4,100
Likes
46
Points
145

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2009
4,100 46 145
Alipata skendo ya kufanya matusi na wanafunzi wake wakike, akatumikia sehemu ya kifungo akiwa Morogoro akahamishiwa UKONGA Maana kilikua ni kifungo kirefu nadhani miaka 30.

Hiyo Kwiro ipo wapi kwenye ramani ya Tz???. Kama walimu wanafanya "biologia" na wanafunzi kuna kufaulu kweli hapo??
 
Joined
Jan 9, 2010
Messages
71
Likes
2
Points
0

American lady

Member
Joined Jan 9, 2010
71 2 0
Mh!ngoshwe bwana hapo kuna biology gani ni uchafu tu huyo mwalimu alikuwa hopeless ns huyo mwanafunzi hakujua kilichompleka shule wakianza kuhara wanalaumu ww mzazi wako kakutafutia elimu mengine subiri yatafika tu haraka za nn?umapepe tu mitoto ya ya kibongo nayo isionekane IPO nyuma.
 

Papa Sam

Senior Member
Joined
Jan 10, 2008
Messages
102
Likes
0
Points
0

Papa Sam

Senior Member
Joined Jan 10, 2008
102 0 0
Hiyo Kwiro ipo wapi kwenye ramani ya Tz???. Kama walimu wanafanya "biologia" na wanafunzi kuna kufaulu kweli hapo??
Kwiro Sekondari ipo Mahenge wilayani Ulanga Mkoani Morogoro, ilianzishwa na Wamisionari Wakikatoliki ikiitwa ST Francis mwaka 1954, ni shule kubwa sana na nimaarufu sana kwa wale waliokua masomoni miaka ya mwanzoni mwa sitini hadi tisini, kidogo ujio wa sekondari za kata umepunguza umashuhuri wa shule hizi za Kitaifa.
mwaka ambao mimi nilimaliza shule hiyo kidato cha nne tulikua kwenye 80 hivi nakumbuka division one tulipata zaidi ya wanafunzi 20 , division 2 ilikua zaidi ya 40, kulikua na zero kama mbili ama tatu sikumbuki vizuri, kitaifa mwaka wetu tulishika nafasi ya tano kwa shule za serikali ukiondoa Seminari./
Kwasababu alitenda Uhuni ndo maana mwalimu Senywagwa (mwalimu wa Geograph ) alifungwa jela.....
 

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Messages
4,100
Likes
46
Points
145

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2009
4,100 46 145
Papa Sam;735988]mwaka ambao mimi nilimaliza shule hiyo kidato cha nne tulikua kwenye 80 hivi nakumbuka division one tulipata zaidi ya wanafunzi 20 , division 2 ilikua zaidi ya 40, kulikua na zero kama mbili ama tatu sikumbuki vizuri, kitaifa mwaka wetu tulishika nafasi ya tano kwa shule za serikali ukiondoa Seminari./
Kwasababu alitenda Uhuni ndo maana mwalimu Senywagwa (mwalimu wa Geograph ) alifungwa jela.....
Kama mwalimu wa jiografia anasoma ramani kwenye miili ya madent yaonyesha hiyo shule ni ya missionary zaidi kuliko Rumi, sina uhakika iwapo hadhi yake bado ni ile ile ya enzi mlizosoma ninyi. Huyo Mwl Senywagwa alikuwa na tabia za baadhi ya mapadri wetu wa Kirumi za kujifanya wafia dini kwa kuishi pasipo kuoa lakini roho zao zimejaa uchu wa tendo la ndoa kuliko hata wenye ndoa!.
Sijui kwa nini hawa "Warumi" hawaruhusiwi kuijaza dunia kwa utaratibu rasmi wa kuoa!.

Anyway, R.I.P Mwl Manda
 

Forum statistics

Threads 1,192,266
Members 451,893
Posts 27,731,256