Recent content by Papa Diana

  1. Papa Diana

    JamiiForums Tanzania Mkemia mkuu Tanzania: DNA yabaini 49% watoto sio wa baba halali

    Kumbuka kwamba wanaenda kuomba hizo DNA test tiyari wanakuwa na wasiwasi/ mashaka kama hao watoto ni wao au la....kwa hiyo hiyo asilimia 49% isikutishe san...sio katika jamii nzima ni katika sample za wenye wasiwasi :-)
  2. Papa Diana

    JamiiForums Tanzania Daktari aliyembusu mgonjwa wake asakwa

    Saa nyengine inahitaji moyo.....kama wife anamimba.....unajua anaweza mtia kidole mbele yako....eti anaangalia njia....
  3. Papa Diana

    JamiiForums Tanzania Uchafu wa wahudumu wa Ununio Beach

    Dah....hatari sana
  4. Papa Diana

    JamiiForums Tanzania Mengi akava jarida la Fobres Africa la July 2014

    It depends on the methodology used to calculate his networth! i suspect it includes fixed assets including land (in Tz this varies wildly depending on where it is, and some dont usually include it)
  5. Papa Diana

    JamiiForums Tanzania I'm Planning to Meet lara 1

    Simplicity. You blew it BIG time!!!! She gave you a chance to wow her, but you messed up!!! I don't think you stand a chance mate! Pole :-)
  6. Papa Diana

    JamiiForums Tanzania Kutokufikishwa kileleni Kunakusababishia mood mbaya ewe mwanamke

    I agree...check PM basi!!!
  7. Papa Diana

    JamiiForums Tanzania Nimewapenda CHADEMA bure: Kila shutuma za wapinzani wanazirusha kwa wenyewe na kuwauma kwa sana

    Nini maana halisi ya kutuo matamshi yale wakati huu? bado sijaelewa...
  8. Papa Diana

    JamiiForums Tanzania Bakhresa achangia bajeti $800k

    Huyu jamaa..angeachiwa aendeshe hizi kampuni zetu za Reli...tungekua mbali...
  9. Papa Diana

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam lawashikilia Mkandarasi Mkuu na Mhandisi wa Wilaya

    Mkuu unayosema ni kweli? Basi ww ni mmoja Wa mashahidi muhimu ktk hii kesi, pls nenda Polisi Katie hii taarifa muhimu! Ikiwezekana uwa tafute na hao wachina waliopiga calculations
  10. Papa Diana

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Kusahau/Kupoteza Kumbukumbu: Dalili, Tiba na Ushauri wa Kukabiliana na Hali Hii

    Nakubaliana Na Rex hapo juu! Tafuta vidonge vya Gingo Biloba (herbal remedy), vinaweza kusaidi, lakini itabidi utumia angalau kwa miezi mitatu ndo uone Kama kuna tofauti au la! Otherwise itabidi uende hospitalini kwa uchunguzi zaidi ( hospitali kubwa/ pengine Aga Khan)
  11. Papa Diana

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Kusahau/Kupoteza Kumbukumbu: Dalili, Tiba na Ushauri wa Kukabiliana na Hali Hii

    Unaumri gani? Umekuwa na tatizo hilo kwa muda gani? Je kwenye familia yenu kuna historia hiyo?
  12. Papa Diana

    JamiiForums Tanzania Pesa mbele uhai wa mtanzania baadaye! MSD

    Mkuu Janjaweed inaelekea unajua issue nzima ilivokuwa, lakini unaongea kwa mafumbo! Funguka ili sote tupata kufahamu!
  13. Papa Diana

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kigogo akamatwa na dawa za kulevya huko China - Dr Slaa

    Ngumu kuamini! What could be the motive? Maanake Kama mi fedha ananjia nyingi za wizi zenye lower risks anaweza kutumia! Labda tu awe amebambikwa!
  14. Papa Diana

    JamiiForums Tanzania Malawi,Tanzania begin talks over Lake Malawi dispute

    USA paper on the border www.law.fsu.edu/library/collection/limitsinseas/ibs037.pdf
Back
Top Bottom