KWANINII mpwa twende ununio
Yaani kama si msiba jumamosi ningekuwa uko azawaisi nashukuru kwa maombiyenu tumemzika dada salama
Mungu awazidishie wale walliotoa kwa hali Mali na maombi Kuhitimisha Safari ya messe
hahaa mwanangu bonge pale coco ndo mambo yake hayo alishamshindilia steki binti wa kiarabu pale coco
Kigogo Loh
Uko fit alafu bonge Ana hirizi Yule
Wengine wanamtamani awaonje tena bure embu ulizi sms zake niwapm wapwa wa JF WAKAONJE mema ya bahaari
Ila wabongo ni wabunifu sana kwenye issue za unyumba na utapeli.sijui kwa nini?
Warning
Mnaokwenda na magfriend zenu huko ununio beach kuweni makini
Kuna binti gfriend wa mtu kadegedwa
Ilikuwaje
Majuzi jirani yangu alienda ununio beach ..alipofika akaaona jinsi mabinti wanavalishwa boyaa nahuku vijana wakisaidia kuogelea nao na kuwarudisha kwa ma bfriend zao
Sasa jioni akatoka binti mmoja kutoka kwenyemaji analiamachozi
yeye alikuja na bfriend then akamwacha beach...wakamsogelea jiranizangu akawaambia kaka aliemsaidia kwenye maji kamuingiza ukuni
Jirani ajui ukuni upi
Ndipo akaelekezwa ukweli ni mshedede katupiwanalo na wale waliokuwa nae kwenyemaji
Akasema yulekijana akampeleka sehemu ambaponalihisi yuko kwenye Kinakirefu
.
Gafla akamwomba amrudishe kule alipotoka huku chini akaanza kusikia kitu kinaingizwa pembeni ya kufuli
Akamwomba aache ukweli akamwambia akipigakelele anamwachia Azame
Binti akuwanajinsi zaidi ya kumwachia jamaa amalize haja zake huku akitoa song za mahaba
Note
Akuna condom kwenye maji
Sijui kitakachokukuta gfriendwako
Muwemakini yawezekana wengi wamesharushiwa mshedede wakiwa kwenyemaji sababu ya aibu wanakaa kimya
Mungu akuepushie hili mwanajf
Hadithi ya uongo
koko bitchhhhhh pia kuna huo upuiuuuzziii beach za kiswahili hizo kwenda ni kutafuta maradhi
Sumbawanga wana beach??
Umeibiwa mke na rafikiyako watafute wataisoma namba watakachofanya
Wanayo, inaitwa jangwani. Iko katikati ya mji
sijawahi ila nisingekua makin angenitafuna miaka kadhaa iliyopita wakati nasoma tulikua tunaenda Cocobeach baadae nikaamua ngoja leo nijifunze kuogelea maana naonaga wenzangu tu... akaja huyo kaka na boya lake ilikua 300 nikampa huyo tukazama ndani.... niko na ka swimming costume tu wowowo nje... tukaanza vizuri ananipeleka kwenye kina kirefu muda si muda nikaona kitu kigum chanipapasa mmh nikashtuka nikamuangalia usoni msela katulia.. nikajisemea labda samaki kanigusa
khe motion zika change kitu kigum kikazidi kunigusa nikasema ngoja nishike nione ni nini lahaula nikashika muwa wake....umesimama wima wima.
ikabidi nianze kumwambia anirudishe alikonitoa anasema we tulia.. nikaanza kupiga kelele anirudishe.... alivyoona makelele akaona haka katoto hakafai... akasema haya njoo tukurudishe wakati tunaenda kina kirefu tulifika fasta kunirudisha anaenda taratibu...
angenitoa bikra kwenye maji yule I was such a little girl back then.... sina hamu nao kilichonishangaza marafiki zangu walikua wanafurahia wanaenda nao walee jamaa mbali
Wale wala awakupeleki kwenye kinakirefu ukidimbukia tu wanaliachia boyaa ukipigakelele bilamate
Kwasasa inatakiwa kuitwa Imededi.sio hiyo beach yetu inaitwa kidedi, ila siku hizi ilishakufa.