Mkuu wacha kutuongopea hapa, huyo Blandina Nyoni kaingiaje hapa, Kama dawa feki zipo MSD ni hao MSD ndio liable usitake kutuletea uongo ulio kubuhu
Kwa hiyo unataka kutuambia wale maofisa waliosimamisha walikuwa hawajui kitu ?
Kama walijua mbona hawakulipoti kama dawa zipo chini ya kiwango ?
Ndio maana nilisema kuna mengi hamjui
Tafuteni details za sakata zima kuanzia initiation of the demand, approval to buy, procurement procedure used, who participated, how did the supplier manage to make to stock available and for what reasons, nani anahusika kufuatilia good procurement practice, utaratibu wa kupokea mizigo, utaratibu wa karantini, kuhifadhi, scheduled inspections, sealing the stored consignment, the use of camera in the warehouses, distribution and security of the product, issuing to hospitals, polisi na wanausalama wana kazi gani, TFDA wana role ipi, kwanini dawa zimenunuliwa 2011 lakini zimegundulika kuwa feki 2012 etc. etc. etc.
Ukimaliza hapo, jiulize nani ni players in the system na role yao ni nini, kisha utafakari dawa zimejulikana mbovu na imechukua muda gani bomu kuripuka, jaribu mahusiano ya muuzaji, mnunuzi, mtunzaji na msambazaji nk... hata kiwanda tu kina share za serikali vilevile
HITIMISHO: Unajua dawa zikishafika store zinakaguliwaje??
unajua sera/mwongozo wa product quality control post market
unawezaje kusimamisha aliyepokea uache anayetunza?? ina maana watu hawawezi kupiga tanji na kurudisha?? malori mangapi yanapigwa za uso njiani??
YOU AHVE GOT A LOT TO LEARN AND THE BEST WAY TO DO IT, IS TO ASK, SIO KUBISHA
SWALI DOGO TU KAMA KWELI UNATAKA KUJUA, HOW LONG DOES IT TAKE KUANZIA KUAMUA KUNUNUA HADI KUPOKEA MZIGO???? NA INACHUKUA MUDA GANI TANGU KUPOKEA MZIGO HADI KUTUMIA?? UKIJIBU HAYO UTAJUA NYONI ALIINGIAJE (ALIKUA BADO PS]
ukiona vipi; read my signature....