Recent content by panyarodi

  1. P

    JamiiForums Tanzania Nipo hapa monterey, califonia members

    Haya tayari tumeshajuwa kuwa uko Monterey.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Wassira aamua isiwe kesi, Amfuata Sheria Ngowi

    Dubu kavalishwa magunia.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Bajaj: Inauzwa imetumika miezi 9

    Mkuu hiyo siyo BAJAJ hiyo inaitwa TVS KING ni aina mbili tofauti za pikipiki ya miguu mitatu.
  4. P

    JamiiForums Tanzania UN: Tanzania ilihusika kuwasaidia waasi wa kundi la FDLR

    Kikwete kazi unayo.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Usichokijua kuhusu juice ya miwa

    Una uhakika gani kwamba hiyo gari ni lake? akili ndogo hii!
  6. P

    JamiiForums Tanzania Azam TV kulikoni mechi za Ndanda zinazochezwa Mtwara hazirushwi?

    AzamTV tunasubiri majibu yenu.
  7. P

    JamiiForums Tanzania JF members wa Dar pita hapa tutambuane

    Dar Es Salaam, wilaya ya Temeke, kata ya Azimio, mtaa wa Kichangani karibu na msikiti mkubwa wa ijumaa, hapo ndiyo home wakuu kama kuna member yeyote anaishi maeneo hayo basi si vibaya tukifahamiana!
  8. P

    JamiiForums Tanzania Africa Cup of Nations (AFCON) 2015 updates

    Ni nderemo na vifijo kwa wachezaji na mashabiki wa timu ya taifa la Ivory Coast baada ya kufanikiwa kuibwaga timu ya taifa la Ghana kwa mikwaju ya penati 9-8, ni usiku huu ambao unamfanya golikipa wa Ghana kuibuka shujaa, amepangua penati na amefunga
  9. P

    JamiiForums Tanzania Phones to be used to test for HIV soon

    ni Samuel Sia, huyo Samuel Sitta unamjuwa wewe.
  10. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ina wanamuziki makini sana kuliko CCM

    Anautaka ubunge, vp ameshanyoa rasta?
  11. P

    JamiiForums Tanzania Zanzibar nchi ya kwanza Afrika, Marekani kufungua Ubalozi wake mwaka 1837

    sasa hapo huyo mbantu na hiyo historia ya mahusiano ya mwaraabu na America vina uhusiano gani?
  12. P

    JamiiForums Tanzania Nasikia watu wa Mtwara ni wachawi sana,tafadhali msaada

    Umedanganywa.
  13. P

    JamiiForums Tanzania Zanzibar nchi ya kwanza Afrika, Marekani kufungua Ubalozi wake mwaka 1837

    Ahsante, enhe endelea!
  14. P

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Kiingereza cha kubishana na kuchokoza

    Fvck you!
Back
Top Bottom