Kwa kawaida mwanamke akiacha kutumia sindano ile nguvu yake inakaa mwilini hadi miezi 18-24(yaani miaka miwili) ko kuwa tu mpole atakaa sawa na pia mzingatie lishe ya huyo mkeo mana kuna mda lishe nayo ni muhimu "we are what we eat"
NB: dada zangu uzazi wampango ni hatari sana kama hujawahi...
kampuni ni ya mtu mmoja iko under name ya SAFARI, huyo dada ni manager tu wa hyo segment ya restoration na kufufua magari upande wa mechanics na panel beating, kiufupi jamaa kaajiri madem tupu kwenye kampuni yake hasa upande wa management za segments na branches.
katika watu nilikua naenda nao bega kwa bega kimya kimya asee ni wewe bwana mfwende, ulikua unatoa hamasa kwa sisi jobless tusikate tamaa hatimae umetuaga sasa ni mtumishi, nikupe pongezi sana bruv kawe mtumishi mwema alama yako kwenye uzi itadumu. bless up
dah, kuna maisha ukisoma ni kama hadithi ila kwa wengine ni maisha halisi. Kama hiyo ya kusingiziwa mwizi ni moja ya experience mbaya sana maishani omba sana isikutokee, binafsi ilinikuta sitakaa niisahau na wala si mbali juzi tu hapa miezi kadhaa nyuma. Mkuu umenipa moyo sana kutokata tamaa...
kisirani kwenye kadamnasi ni uduanzi sana, ishu yenywe ilishapita kitamboa altakiwa awe mpole. Kuna namna jamaa ana kutojiamini kama mwanaume hasa akikosea
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.