Wana JF hapo tusifanye dhihaka Mungu amsaidie Mrema apone haraka na Shukrani kwa Mhe. JK kwa moyo wa huruma na kwa kutambua mchango alioutoa Mrema katika nchi hii.
Kwa nini chama hiki kinaonekana kujificha ficha katika mambo yake? ni kweli chama hicho kipo au kinafikiriwa/ kutegemea kuanzishwa miaka ijayo? Ubabaishaji wakati wa kuanzishwa chama ni dalili mbovu wanakotarajia kuelekea.
Kiwavi nakubali maneno yako kwa asilimia zote.Hiyo ni Janja tu ya kutafuta mkono kwenda kinywani.Hiyo ni Mbinu ya Wachache waliozidiwa ujanja na wenzao katika CCM.
Wana JF ni sahihi huu ni mtego.Watu ( pamoja na wana siasa) hutofautiana sana maeneo kwa sababu ya ulaji!! akipata atatulia, sasa itabaki zamu ya wengine nao kupiga kelele.Inakuwa kama mchezo wa kupokezana vijiti.
Kuna sababu nyingi, lakini nitazitaja chache kwa kuanzia:
1. Kutojua kum handle mwanaume wa aina ile
2. Sura nzuri mara nyingi huleta kiburi katika ndoa
3.Wengine wavivu kitandani
4. Wengine hawatosheki, hivyo hulazimika kwenda nje ya ndoa
5. Vitu laini muhimu unapopumzika , unaweza...
Buchanan nakubali maneno yako.Watajwe hao watu hao wanaogawa Ma hela ya kifisadi.UTHIBITISHO KUWA MAPESA HAYO NI YA KIFISADI UNATAKIWA!!! kama watu wamekuwa madarakani kwa miaka zaidi ya 20 watakosa vijisenti vya kuwapa walala hoi?!
Ukichunguza sana sheria imefuata mkondo wake ila huyu Mchungaji alikiuka vifungu vya sheria.Sijui alifanya hivyo kwa kudhamiria au ndiyo katika kutaka kuandika historia?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.