WHO yatoa magari 25 akabidhiwa N.Waziri, Mhindi katoa Ambulance 2 kamkabidhi Rais | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WHO yatoa magari 25 akabidhiwa N.Waziri, Mhindi katoa Ambulance 2 kamkabidhi Rais

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwenda_Pole, Jan 15, 2010.

 1. Mwenda_Pole

  Mwenda_Pole JF-Expert Member

  #1
  Jan 15, 2010
  Joined: Jul 5, 2008
  Messages: 260
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wakuu hii imekaaje?

  WHO yatoa msaada wa magari 25 (Toyota Land Cruiser Mpya) yaliyogharimu fedha za kitanzania zaidi ya shilingi milioni 986 kusaidia mpango wa Afya ya mama na mtoto nchini, na amekabidhiwa Naibu Waziri wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt Aisha Kigoda leo jijini Dar es salaam, WHICH IS OKAY

  Hivi karibuni tuliona kuna yule jamaa wa kihindi alikwenda kukabidhi Ambulance 2 Ikulu kwa Rais na ni kwa shughule kama hizo hizo tu hii imekaaje????
   

  Attached Files:

 2. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,082
  Likes Received: 4,032
  Trophy Points: 280
  Kumbuka WHO hawachangii kampeni kwenye chaguzi na hawatoi 10 au 30% siku hizi kwenye deals!
   
 3. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #3
  Jan 16, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  My dear,

  WHO are after health and those colleagues of ours are after branding, PR and ROI!
   
 4. Serendipity

  Serendipity JF-Expert Member

  #4
  Jan 16, 2010
  Joined: Jan 24, 2009
  Messages: 475
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Inaelekea huyo muhindi anatafuta mshamaha wa kodi in near future!
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Jan 16, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Huo ni msaada au nini jamani?

  Kama ni msaada, hiyo 986M ni ya nini?

  Labda niwekwe sawa hapo, na sielewi hii inhusiana vp na huyu muhindi!
   
 6. P

  Pangan Member

  #6
  Jan 16, 2010
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nionavyo mimmi; Msaada alioutoa huyu mhindi ni mkubwa kuliko uliotolewa na WHO.
   
 7. M

  Magezi JF-Expert Member

  #7
  Jan 16, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Mhindi hatoi msaada....pale analake jambo........baadaye mtasikia amepewa tenda ya kuleta vichwa vya treni
   
 8. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #8
  Jan 16, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280

  Mkuu PJ,

  Nilivomwelewa ni kwamba huo ni msaada wa WHO, na una thamani ya 986M za kitanzania.

  Analinganisha na Ambulance 2 alizotoa huyo mtanzania (sina hakika kama ni mtanzania lakini ) mwenzetu mwenye asili ya kiasia, akamkabidhi JK ikulu.

  Mi naona ilikuwa bahati yake JK alikuwepo wakati huo!
   
 9. GAMBLER

  GAMBLER JF-Expert Member

  #9
  Jan 16, 2010
  Joined: Nov 22, 2009
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  acha ubaguzi wewe!!, WHO ni wajibu wao kutupa hayo magari, na hawatoi kwa Tz tu, ni nchi zote wanachama kwa sababu na sisi tunachangia UN, kwa upande wa huyo mhindi ndio tunaweza kuita msaada wa dhati, na hawa watu wanatusaidia sana sana, tusiwe na wivu wa kijinga, miswahili ndivyo tulivyo
   
 10. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #10
  Jan 16, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Na nyinyi miswahili ndivyo mlivyo kweli kwa kupenda misaada ya wahindi iliyo na hila nyuma yake. Lini mhindi alitoa kitu kwa huruma?

  Kwa ajili ya kupenda umatonya mmedhani misaada misaada misaada ndio itakuwa ukombozi wenu. Angalia mwaka nenda rudi na misaada yote mliowahi kupata nyie haswa mlio wavivu wa kufikiri hamjawahi kubanduka mlipo na bado hata kesho mtataka na msaada wa mafuta, msaada wa tairi msaada wa maintenance.

  Kuomba omba tuuuuuuuuuuu alafu unaita wenzio wavivu wa kufikiri? Wewe uliye na juhudu ya kufikiri mbona unaishi kwa omba omba? Nadhani nyie ndio wavivu wa kufikiri.
   
 11. Mwenda_Pole

  Mwenda_Pole JF-Expert Member

  #11
  Jan 16, 2010
  Joined: Jul 5, 2008
  Messages: 260
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ahsante Mhindi kwa kujaribu kunielewesha lakini naweza kusema umeingia chaka, haujailewa habari na ujumbe inaokusudia kufikisha kwa jamii nashukuru kuna waliokwishaelewe tayari wamekutangulia.
   
 12. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #12
  Jan 16, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Yaani hayo magari ya msaada yote thamani yake haifikii nyumba ya Gavana???????????

  Vipaumbele vya Tanzania ni nini??
   
 13. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #13
  Jan 16, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  shangaa sasa!
   
 14. Z

  Zhule JF-Expert Member

  #14
  Jan 16, 2010
  Joined: May 22, 2008
  Messages: 354
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe ni mhindi nini? hawa jamaa wanatusaidia? wapi? hizo ambulance mbili ukilinganisha na EPA au tenda za matrekta, magari ya jeshi, misamaha ya kodi, ukwepaji wa kodi bandarini wapi na wapi
   
 15. Che Guevara

  Che Guevara JF-Expert Member

  #15
  Jan 16, 2010
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 1,178
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Zhule, wacheza kamari wengi ni wahindi.

  Bahati mbaya huyu Rais wetu wa sasa hajui hata vipaumbele vya nchi, na hata akijua ni kama hajali.

  Mhindi huyu lazima anatafuta faida serikalini, ndio maana akafanya makeke amkabidhi Rais mwenyewe, ili siku ikifika iwe rahisi kumuingia na deal yake na kuvuta pesa za watanzania kifisadi. Hii si bure. Wahindi tunawajua.

  Serikali, ambayo inakusanya pesa za wananchi kwa njia ya kodi, inaweza kununua 'ambulances' nyingi tu bila kuhitaji kajimsaada ka kisanii ka muhindi huyo. Vivyo hivyo hata kwa pikipiki ambazo wahindi huwa wanatoa kwa polisi kwa mtindo huohuo wa kifisadi.

  Kumbuka hata Mkutano mkuu wa Umoja wa vijana wa CCM uligharamiwa na muhindi, na alikabidhi pesa za kugharamia kwa Kikwete, pembeni yake akiwepo Emmanuel Nchimbi.

  These wanamtandao members have their own priorities, which are not the priorities of the majority of Tanzanians.

  Fikiria hadi deal ya matrekta ya usanii uitwao 'Kilimo Kwanza' inagombewa kati ya Yusuf Manji na Jeetu Patel... Very stupid indeed...
   
 16. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #16
  Jan 16, 2010
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,856
  Likes Received: 2,432
  Trophy Points: 280

  huyu mr Haji ni mtoa rushwa ...ndio huuza magari aina ya discovery ,na defender kwenye majeshi yetu...nadhani hapo alikuwa kwenye business zaidi....hapakuwa na mantiki kulazimisha kukabidhi vigari viwili kwa rais ...wakati wanaotoa misaada hadi ya magari 40 wanamkabidhi waziri au katibu mkuu...

  wasaidizi wa rais msishushe hadhi ya rais wetu namna hii...mnaruhusu appoitment za kumdhalilisha kama hii na ile ya kufungua hoteli iliyojengwa road reserve kule arusha!
   
 17. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #17
  Jan 16, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,343
  Likes Received: 1,808
  Trophy Points: 280
  hakuna mhindi anayetoa bure hata siku moja
   
 18. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #18
  Jan 16, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,343
  Likes Received: 1,808
  Trophy Points: 280
  Wasaidizi wa rais wanachaguliwa na nani?Ili nitumbukize jina langu hapo mapemaa
   
 19. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #19
  Jan 16, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  You have nailed it!!! Tatizo ni washauri wa rais wetu... nadhani January Makamba ni mmoja wao, au nimekosea?
   
 20. Facts1

  Facts1 JF-Expert Member

  #20
  Jan 16, 2010
  Joined: Dec 23, 2009
  Messages: 308
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Toka lini mhindi akatoa msaada wa dhati bila malengo unafikiri kweli wao wanapenda kuishi Tanzania hata kama kazaliwa Tanzania wamekuja hapa kibiashara zaidi ya misaada, mbona India kuna wengi tu wanahitaji misaada muulizeni amewahi kusaidia wangapi India.

  Wanajua Tanzania ni kwa wajinga waliwao kuna shamba la bibi tukipewa vigari viwili tu basi kesho njoo upate tenda, kama ni msaada kweli kulikuwa na ulazima wa kupiga picha na kuitoa gazetini, ni kweli misaada inayotolewa na mashrika ya kimataifa kama ya UN ni real lakini hii misaada binafsi iwe ya wahindi wazungu warabu wana malengo yao tofauti hata hawa Aga Khan nawasiwasi nao.
   
Loading...