Recent content by pangalasi

  1. P

    Halotel sasa mlikofikia mtabaki na Mkurugenzi pekee

    Hawa jamaa siku hizi sio reliable kabisa
  2. P

    Azamu kuiondoa Tv 1 kwanini?

    Ukibofya ok ukiona list ya channel za azam kabla hazijatoka unabofya volume up kama unaongeza sauti utaona zinatokea hapo, ukitaka kusikiliza redio unabofya tena vol up. Sorry for late reply
  3. P

    Azamu kuiondoa Tv 1 kwanini?

    Nenda kwenye zile channel za ziada angalia CRTV iko clear sana
  4. P

    Hongereni Startimes kwa kuonesha mechi zote za Copa America

    Hawa Azam hawana nidham kabisa majirani wamekusanyika kwangu kuangalia game wao hawaoneshi very very bad with all adverts shame on you and your management you need to walk you'r talk
  5. P

    Ajira Utumishi - Recruitment portal

    .angalia kwenye spam utaona hiyo activation email
  6. P

    Abiria wawapiga wafanya kazi wa fastjet baada ya kuahirishwa kwa safari yao

    hakuna ndege iliyopata ajali mbeya sema ilichelewa kwa muda wa saa moja tukaondoka saa 12 jion, hawa jamaa tatizo lao ni tamaa ya pesa wana ndege chache route nyingi sana so ikisumbua moja tu ni sheedaaa nchi nzima
  7. P

    Elimu ya bure kuhusu Azam TV

    Nashukuru Ph-25 nimepata channels kama 13 hiv na redio 5 ila zile za Rodrigez zinasoma zote mbili sema hazioneshi picha na freq yake inasoma integrity 70 & quality 40. nimezi add kwenye satellite ya west, 7 degree au ni add satellite nyingine ya east.
  8. P

    Elimu ya bure kuhusu Azam TV

    Poa kk Ph nashukuru natajaribu nimetoka kidogo nitakupa mrejesho
  9. P

    Elimu ya bure kuhusu Azam TV

    msaada waungwana nimejaribu kutumia option ya kwanza imegoma na hii ya pili baada ya ku add satelite niki search inaonesha zimekamata ila nikija kwenye list ya kawaida sizioni ila redio zipo
  10. P

    Elimu ya bure kuhusu Azam TV

    msaada jamani nikiingiza hizi freq kwenye eutselat ya azam tv sipati kitu ila ni add satellite name na kuweka baada ya kusearch inaniambia kuna channels imekamata lakini nikirudi kwenye list sioni kitu sijui tatizo ni nn na sijajua ile satellite name inawekwaje
  11. P

    Genuine way to make some cash with your spare time

    Nadhani wamebadili jina walikua wanajiita cashnite unagenerate ukifikia $300 una claim hakuna response yoyote. Any way u can try
  12. P

    Lapf

    tuendelee kusubiri
  13. P

    Lapf

    Wadau mwenye taarifa kuhusu usaili wa LAPF tafadhari atujuze maana ni muda mrefu sana umepita
  14. P

    Fastjet na nauli ya 75,000 Tsh (Mwanza-Dar)

    Asante kaka kwa uelimishaji watu wengi hawajui ila wanapenda kuongea. Big up sana
Back
Top Bottom