Hongereni Startimes kwa kuonesha mechi zote za Copa America

rusesa

JF-Expert Member
Jun 1, 2013
538
233
kiukweli mmeweza kutimiza ahadi ya kuonesha michuano ya copa america.

hii ni tofauti na azam tv waliojinasibu eti wataonesha Uero yote wakaishia kuonesha mechi moja moja tu. watu wameibiwa pesa zao kwa kufikiri kuwa wataona mechi zote.

mimi ni mshabiki wa mpira na nina decoder ya startimes hakika mmeweza kukata kiu yangu.
ONYO. Azamu kuweni wakweli pale ukweli unapotakiwa.

hongeren startimes kwa hili mmeweza kutimiza
 
AZAM TV WALAGHAI WALITANGAZA KWA MBWEMBWE KUWA WATAONESHA EURO MECHI ZOTE. WATU WAMENUNUA VIFURUSHI MATOKEO YAKE INAONESHWA MECHI MOJA MOJA.
 
Wanaonyesha kupitia Channel gani Mkuu??
 
wanaonesha kupitia channel mbili ambazo ni
i)244- ST WORLD FOOTBALL
ii)245- ST WORLD FOOTBALL HD
Ahsante Mkuu,
Sifikagi huko, ukiacha local channels mi naangaliaga ETV tu sababu ya kina Roman Reign na Seth Rollin
 
Copa America saa Tisa usiku alafu nimefuatilia hata kiwanja hakijai inaonekana hawapendi Mpira kama Ulaya aiseee
 
hahahahaaaaa hizo chanel ni full rahaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Copa America saa Tisa usiku alafu nimefuatilia hata kiwanja hakijai inaonekana hawapendi Mpira kama Ulaya aiseee
Tunakujua tatizo kilevi chako ni mademu, mpira huupendi. tunakujua kitambo!
 
Hawa Azam hawana nidham kabisa majirani wamekusanyika kwangu kuangalia game wao hawaoneshi very very bad with all adverts shame on you and your management you need to walk you'r talk
 
hahahaaaaa pole kwa aibu iliyokukumba daaaa
 
Hata hao Startimes sio wa kuwasifia, marketing strategy gani wanatumia kuchagua product ya Copa America inayooneshwa usiku wa manane na alfajiri wanaacha product inayooneshwa jioni na usiku kiasi? Very poor choice!!!!shame on you!
 
Tatizo hapa ni uelewa wa kujua ni kipi chenye hadhi kati ya copa na euro ukishatambua hilo utajua ugumu wa kupata haki ya kuonyesha mechi hizo za euro kwa bei hizi za vifurushi vya lambalamba na wachina haiwezekani njoo dstv weka mzigo wa 125000 full kujichagulia mpaka pilau ukitaka utaona
 
AZAM TV WALAGHAI WALITANGAZA KWA MBWEMBWE KUWA WATAONESHA EURO MECHI ZOTE. WATU WAMENUNUA VIFURUSHI MATOKEO YAKE INAONESHWA MECHI MOJA MOJA.
Tena ni wangese sana hawa Azam kujipaisha bureeeee afu wanabaki kuonesha mavipindi ya ajabu ajabu badala ya mpira si wangesaema ukweli tu kuwa wataendelea kuonesha marudio ya LA LIGA na VPL
 
Tatizo hapa ni uelewa wa kujua ni kipi chenye hadhi kati ya copa na euro ukishatambua hilo utajua ugumu wa kupata haki ya kuonyesha mechi hizo za euro kwa bei hizi za vifurushi vya lambalamba na wachina haiwezekani njoo dstv weka mzigo wa 125000 full kujichagulia mpaka pilau ukitaka utaona
Si wangekuwa wawazi tu kuliko kulaghai watu.......HAWA NI MATAPELI
 
Back
Top Bottom