Recent content by Panapet

  1. P

    Rais Magufuli: Mkijaribu kumfukuza Mkurugenzi wangu nitalivunja baraza la madiwani

    Usisahau wale wa chadema arusha na moshi walikua wanalazimisha posho nono,Kwisha habari yao
  2. P

    Naomba Mnishauri nilime zao gani

    Nakushauri ulime majani ya mifugo haswa ya ngombe wa maziwa
  3. P

    Vyama vya siasa lazima viwe na ofisi nzuri, hebu ona hii mifano

    Kwani hiyo yenye Bender'a ya chawema ni gesti?
  4. P

    Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie Waandamana kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar Makonda

    Hela za wauza unga zinakusumbua umeandika pumba tupu
  5. P

    Ushawishi wa CHADEMA Arusha umepungua sana

    Kweli arusha pamebadirika mda wakupoteza kwenye siasa umepungua sana watu wanasakaa noti
  6. P

    Pugu: Rais Magufuli azindua ujenzi wa Reli, asema dereva mzuri hasikilizi maneno ya watu

    Kwani nyie mnalipwa kiasi gani na wauza unga mbona maada in reli nyie mnaingiza mambo mengine hela ya unga shidaa
  7. P

    Compare SGR TANZANIA $1.87bn/300km Vs SGR ETHIOPIA $3.40bn/750km. Tumelamba dume/dume katulamba?!!

    We we kweli kilaza unauliza kama kujenga treni itakua na faida au bado una stock kubwa ya viroba??
  8. P

    Rais Magufuli: Mimi sijaribiwi, wasije kunijaribu. Atakayeleta vurugu atashughulikiwa bila huruma!

    Lakini waliomkosolea walikua na haki inaelekea we we ulifaidi biashara ya unga
  9. P

    Kupotea kwa Roma Mkatoliki: Kibatala, Lissu na wanasheria wa TLS kufanya yao

    Hahaha!! Lissu anahangaika na Roma lakini walimpigia kura hawajamwona tangu 2015,usani mtupu!!
  10. P

    Unahitaji simu used?

    Ni za halali au umepiga watu roba?
  11. P

    Bila wabunge wa CHADEMA wabunge waliopitishwa jana hawataapishwa bunge la EALA

    Tatizo mnauwelewa Mdogo tz inatakia kupeleka eala wabunge Tisa na wanawake wawe angalau theluthi moja,( angalau 3 )sasa ccm wapata wawili ilitakiwa ukawa wapate mmoja,lakini ukawa wamegoma inamaana ukawa ndo wameleta ujinga
  12. P

    The Guardian: Bombardier zilinunuliwa bila kuwa na business plan

    Well said bravo, atcl was receiving 6 bill annually in govt. money now it has made 9 bill in 5 months why all that blahblah
  13. P

    Mkuu anaogopa kumtumbua RC kulinda usalama wake??!

    We we inaelekea huna Kazi yakufanya side tunataka kujadili budget wewe unajadili MTU mmoja ukiitwa lofa unachukia
  14. P

    Kama gazeti la Uhuru limeandika, tunasubiri nini?

    Umesahau laa NNE chadema kuleta jina LA wema kama mgombea ubunge eac
Back
Top Bottom