Mkuu anaogopa kumtumbua RC kulinda usalama wake??!

Mkuu anaogopa kumtumbua RC kulinda usalama wake??!

Akiisha mtengua tu basi watu wataachana naye wataendelea na kazi zao, au awe anatembea naye kama mlinzi
 
Mimi nafikiri kuna kitu hakiko sawa katika jambo hili. Ni vizuri ti mkuu atafakari njia zake na kufanya marekebisho.
 
IMG_20170404_113708.jpeg
 
LAZIMA KUNA BONGE LA ISSUE WANASHARE HAWA MABWANA NA LAZIMA ZIRO AMEMWAMBIA MKUU........................................ UKITHUBUTU TU NAMWAGA MBOGA.
 
LAZIMA KUNA BONGE LA ISSUE WANASHARE HAWA MABWANA NA LAZIMA ZIRO AMEMWAMBIA MKUU........................................ UKITHUBUTU TU NAMWAGA MBOGA.
Sasa si bora ampoteze tu!!
 
Mh Sugu alisema huyu kijana aende kwa Daktari Mkuu wa Serikali akapime nini vile?
 
Back
Top Bottom