Recent content by pamoja_ushind

  1. P

    Afande Sele ajiandaa kunyakua jimbo la Morogoro Mjini

    Nakupongeza sana Afande kwa uthubutu wako, nakuhakikishia wewe ndio mbunge wa moro, hiyo ukipitishwa tu ujue umepata. Siasa ya sasa ni kujenga hoja kwa vijana sio pesa. CCM wanachanganyikiwa kwa kupitia wewe mkoa wote utakuwa chadema usiwaogope kashfa.
  2. P

    Angalizo Kwa UKAWA! Kuweni Makini Na Hili Tafadhali!

    Mbona unatoka povu jingi kuwaaminisha watu kuwa lipumba ni mgombea anaefaa, na huku ukimponda slaa. tupe matokeo ya chaguzi zilizo pita ili nikubaliane na ww. sio vizuri kufanya unayoyafanya damu a watanzania inyoangamia kwa kukosa huduma za afya na ziwejuu yako
  3. P

    Sifa za Kipekee za Mh Lowassa

    Akili zako zinafanana na Malaya(wao huangala hela tu) huyu mtu ana laana ya mwl kamwulizeUwaziri mkuu ilikuwaje?
  4. P

    Comrade Mwigulu ndani ya Muheza

    mbona unasifia sana, hizo i tabia za Malaya. haijalishi kuwa wa kiume au wa kike. ukisha pewa elfu kumi bas unaona wote hatuna akili
  5. P

    UCHAGUZI MKUU: ACT kuvuruga mipango ya CCM na UKAWA

    Nyinyi ni CCM tu, sasa ww na wenzi wako subirini kuulizwa na wananchi kuwa wapinzani wameungana kuiondoa ccm je nyinyi mpo upande gani?
  6. P

    Hamis Kigwangala kuhamia CHADEMA

    CCM Hapo mnapima upepo sio kweli huyo jamaa kuhama, nenda kaangalie chanzo cha kushinda ubunge wake ndio utajua
  7. P

    Watanzania, Msichaguwe Chama Chagueni Kiongozi

    Naomba sana ubadilishe hilo wazo elewa hivi chama ndicho kina sera, mtu ana maono binafsi hivyo hawezi kuleta mabadiliko ya kweli kwenye jamii kubwa. kwa kifupi nitapigia kuRA CHAMA si mtu mwambie jirani yako achague CHAMA
  8. P

    Mbunge mjanja apeleke hoja binafsi bungeni ya kuahirisha kura ya maoni

    Kwa ufupi kura ya maoni ni mtaji mzuri kwa UKAWA mpinzani usipinge coz:- 1. Kundi kubwa linaikataa hiyo katiba pendekezwa hivyo linasubiri wahamasishaji wa kuikataa ambao ni ukawa hivyo political awareness ya wapiga kura itakuwa kwao. 2. Makovu ya uchaguzi wa uchaguzi wa s/mitaa yatasaidia...
  9. P

    UKAWA mbona mnatuchanganya? Hii nini maana yake kuhusu Lipumba na UKAWA?

    Tatizo lipo wapi, hii kutangaza kila chama kusimamisha mgombea wake ni vizuri kwan kuna amsha political awareness in the society.
  10. P

    Mnyika unakumbuka shuka asubuhi kunakucha. Maji jimboni ulisahau ukakalia sif...

    kama ingekuwa aliyehaidi na hakutimiza basi viongozi wa CCM wasingekuepo leo. kwa ufupi nikukumbushe mbunge kazi yake kuomba bajeti ndogo iliyopo iweze kufika eneo lake. mnyika amefanya hivyo na ccm walizuia hoja yake binafsi bungeni wakisema tatizo la maji liko mbioni kuisha kwani kuna mradi...
  11. P

    Laiti wananchi wangeisoma ripoti ya CAG mapema

    Ujinga utaacha lini wewe, kama umepata mgao si utulie unataka kutusumbua akili, si yema kubisha vitu vikowazi, kamuulize prof mwandosya alichosema bungeni kuhusu ESCROW A/C
  12. P

    Mbunge David Kafulila na siasa za ''tisha toto'' kuhusu suala la Tegeta Escrow!

    Kafulila kawakamata pazuri, mnajihoji nakujibu wenyewe. huo ndio ujinga wa fikra kila unapobanwa unatafuta pa kulalamikia kama unamajibu kwa kafulila yalete. wala rushwa wakubwa nyie. kama unaweza kajaribu kugombea udiwani kupitia ccm, ndio ujue magumu yaliyopo
  13. P

    GE2015 Ni Tundu Lissu pekee(Sababu moja sifa kumi)

    Sasa si uto mapenekezo yao ya kumekebish Tundu Lissu
Back
Top Bottom