pamoja_ushind
Member
- Oct 15, 2014
- 39
- 1
Anazungumza kama mwl Nyerere kiukweli kwa kujiamini sana. Bila shaka atakuwa mrithi bora wa Lowassa atakapoondoka madarakani.
mbona unasifia sana, hizo i tabia za Malaya. haijalishi kuwa wa kiume au wa kike. ukisha pewa elfu kumi bas unaona wote hatuna akili