1. Ni mbunge pekee anayeshinda jimboni mwake na wananchi wake akihamasisha maendeleo na kusaidia jamii
2. Ni Mbunge pekee aliyewawezesha Wananchi wake kwa elimu, afya, miundombinu nk
3. Ni mbunge pekee ambaye hupita bila kufanya kampeni, sana sana kuwafanyia kampeni wengine
4. Ni kiongozi mbunifu, makini, mwenye uthubutu ambaye kwa muda mfupi aliokuwa PM Serikali iliwatumia wananchi
5. Ni mwanasiasa mwenye mvuto ambaye yuko tayari kuwajibika hata kwa makosa ya wengine.
6. Ni kiongozi pekee kutoka ccm mwenye sifa, na kukubalika kwa jamii ya Watanzania wapenda maendeleo na mabadiliko.
7. Ni mwana ccm pekee mwenye mtizamo tofauti na wenzake hadi wanamuogopa
Kwa sifa hizi anafaa sana kuendelea kuwatumikia wananchi wa jimbo lake kama ilivyo sasa. Huku kwenye uraisi hatumtaki paka jizi hata kama anang'ata na kupulizia!