Recent content by pamoja tunashinda

  1. P

    Unafikiri Diamond akiendelea na aina hii ya Muziki atanusa tena tuzo za Kimataifa?

    Hana jipya kw sasa..kaachia nyimbo5,fire,eneka,zilipendwa,nakukumbuka na marry u..ndani ya miezi2...kapaniki kw nyimbo hizi mmmh...mwaka jana km mwaka huu..hanusi tunzo ya kimataifa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. P

    Kilichomchanganya Matonya ni ideas, jina la wimbo au expression?

    Zilipendwa nyimbo mbaya...sion mapovu yanatoka wapi..matonya angenyamaza maana hata haina ishu iyo zilipendwa ya wcb.. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. P

    Serikali ya wanyonge: Wafanyakazi waambiwa hakuna nyongeza; kama mshahara hautoshi wakalime

    sidhani km uko sawsawa na sitegemei km umefika ata form four na kufaulu...maana huelewi wanachoongelea..mikataba ya ajira ya seeikalini inasema kila mweziwa saba tarehe moja ya kila mwaka mfanyakazi wa serikali anaongezewa asilia kumi10% ya mshahara wake....toka uyu mzee aingie kila siku anaketa...
  4. P

    Ulifikiria nini kujibatiza username unayoitumia JamiiForums

    PAMOJA TUTASHINDA..mm ni muumini wa kushirikiana hua naamini katika umoja ndio maana mm ni pia ni fans wa Simba sports club ambao wana slogan ya SIMBA NGUVU MOJA..kwaiyo nilijipa jina ilo ku-express imani yng juu ya kufanya mambo kw pamoja..pia jina ili lilichagizwa na kipindi cha kampeni ya...
  5. P

    Roma aweka wazi kilicho mzimba mdomo, adai angesema yote leo asingekuwepo hai, ni zaidi ya mziki

    Hawezi imba tena..izo kauli zake ukisikiliz InAmana akirudia ke wanampoyeza kabisa..hutokaa usikie tena zile ngumu kumeza agaist gvt
  6. P

    Huyu ndiye Ruge ninayemfahamu!

    Yule bwana kubebwa na bwana yule sio kazi rahisi,kuna jambo hatulijui juu ya bwana yule na yule bwanA
  7. P

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Aseee....somo zito.nmepashika ktk dondoo za kuacha nmekuelewa ntazifata maana na mm niliaza mchezo huu nikiwa sekondari adi chuo na sasa npo kazin
  8. P

    TCRA inapokea mlungula toka Star Times?

    Ukinunua dekoda ambayo ni mzur..mm nilinunua laki na ishirini unaona chaneli zote za local na dini..ukimpata mtaalam anakusetia frequecy adi za startimz unaziona free..za azm cjajalibu
  9. P

    TCRA inapokea mlungula toka Star Times?

    Mm niliwapigia azam tv wakaniambia kua wanakata ili ulipie kwasababu na wao wameaza kutozwa kodi ya local channel na serikali
  10. P

    Julius s. Mtatiro: "Njaa siyo pepo ,haiondoki kwa kukemewa"

    Kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe...
  11. P

    Meya wa Ubungo: Nani awaokoe madiwani Tanzania?

    Duu poleni waheshimiwa madiwani
  12. P

    Mhe Rais ulipokuwa ukisitisha ajira serikalini ulitoa waraka nini kimekushinda kutoa waraka tena,

    Mapato/makusanyo TRA yameshuka sana ndio maana wako kimya..wanajitetea kua ni kwa sababu sio miezi ya makampuni kulipa kod au kuagiza mizigo
  13. P

    Naiona morali ya watumishi wa umma ikipungua

    Ewe na kazi yenyewe hupat utabaki na bahasha zako...unajua ugumu wa kazi?? Unasema posho zfutwe..?? Nina wasiwasi na elimu yko
  14. P

    Halmashauri ya Jiji la Arusha chini ya CHADEMA yatoa mikopo ya 624mil kwa wanawake na vijana

    Ww hujitanbui,uccm umekujaa..habar ilioshiba ndio ipi?? Inaamana iyo hujaelewaa??
  15. P

    CRDB, yasimamisha mikopo kwa wafanyakazi, hadi uhakiki uishe..? Serikali mnajua hili..? Hali ngumu

    Apa kibaha mji wamehakiki wafanyakazi adi vyeti vya ndoa
Back
Top Bottom