Mwaka 1985 wakati mwalimu anatangaza kung'atuka madarakani aliitisha vyombo vyahabari kutangaza hadhima yake hiyo,moja ya swali la waandishi wa habari walimuuliza ; Mwalimu umesema tuchague yaliyo mema tuyaendeleze na mabaya tuyaache je unaweza ukatutajia moja baya ulolikumbuka.?
Mwalimu akajibu moja baya analolikumbuka ni uamuzi wa kufuta serikali za mitaa mwaka 1979 mpaka mwaka 1982. akijutia maamuzi yale kuwa hakujua Umuhimu wa serikali za mitaa akaondoa "Madiwani" na kuanzisha "makatibu kata" hakika ugumu wa kuendesha nchi alioupata aliamuru kurudishwa tena kwa serikali za mitaa.
Asili ya neno "DIWANI" ni kule Nchini Iran,lenye maana ya "Diwan" kama mtu mwenye uwezo wa fedha na mali nyingi kwenye jamii aliyejitolea kusaidia majiranu zake au jamii inayomzunguka katika matatizo mbalimbali
Iran ma "Diwan" hawachaguliwi bali kutokana na uwezo wa kifedha na mali nyingi Binafsi ujionyesha kwa vitendo vyake vya kusaidia familia na kaya masikini.
kwetu ni Tofauti Diwani anachaguliwa na wanachi kama mwakilishi wao kwenye vikao na shughuli za halmashauri yake kwa watu wake.,bila kujali uwezo wa kifedha na mali alizo nazo,hivyo upelekea madiwani waliochaguliwa kuwa masikini kiliko hata anaowaongoza kwenye eneo lake.
Madiwani ni moja ya msingi wa muhimili mkuu wa serikali za mitaa,zenye mjumuiko wa 1.watendaji 2.madiwani(watoa maamuzi) 3.serikali za mitaa na vijiji
Madiwani huchaguliwa kipindi cha uchaguzi mkuu nchini Tanzania kwa mujibu wa sheria za uchaguzi,ambapo siku hiyo ya uchaguzu ujumisha 1.Boksi la Rais 2.Boksi la Mbunge na Boksi la Diwani
Kwa Mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano Tanzania ya 1977 ibara ya ......serikali Za mitaa kama mhimili unaojitegemea kutoka serikali kuu
Na katiba ikatoa mwanya wakutungiwa sheria za serikali za mitaa zinazotumika ikiwamo sheria 8 ya 1982,9 ya mwaka 1983,sheria ya fedha 2004,sheria ya manumunuzi 2011na zingine nyingi.
Lakini kwa kipindi chote hiki tangu kurudishwa tena kwa serikali za mitaa mwaka 1982, madiwani wamekuwa wanapoteza umuhimu na heshima yao kila kunapo kucha huku wenzie wanaochaguliwa naye siku hiyo Rais na Mbunge wakiula kwa kuanza kukutana na Mishahara minono na maposho lukuki.
JE UDIWANI NI AJIRA?
Hapana udiwani si ajira kama walivyo wabunge au watumishi wa Halmashauri,Udiwani uchuliwa kama kazi ya kujitolea na madiwani hawana malipo ya mshahara wowoye kwa mwezi.
JE MASLAHI YA MADIWANI NI YAPI?
Kwa mujibu wa kanuni za uendeshaji wa mikutano na shughuli za halmashauri za November 2015 zina tajwa stahiki za madiwani amabazo ni
1.POSHO YA MWEZI TSH 350,000
2.POSHO ZA KUKAA KIKAONI TSH 40,000
3.POSHO YA NAULI TSH 30,000 ×2 (kwenda na kirudi)
4.POSHO YA KUJIKIMU AKIWA SAFARINI perdiem TSH 80,000( akisafiri tu)
5.POSHO YA MADARAKA (kwa wenyeviti wa kamati,Naibu meya na meya) TSH 40,000
KAMA PATO LA MBUNGE KWA MWAKA NI MILLIONI 99NA DIWANI NI KIASI GANI?
1.POSHO YA KILA MWEZI TSH 350,000×12=
2.POSHO YA VIKAO VYA BARAZA LA MADIWANI TSH100,000 × VIKAO 4 TUH (KWA MWAKA)=TSH 400,000
3.POSHO YA VIKAO VYA KAMATI
kila diwani anapaswa kuwa na kamati isyopungua moja
TSH100,000 ×VIKAO 4 KWA MWAKA =TSH400,000
NB:WEKA VKAO 2 VYA DHARULA KWA MWAKA BARAZA TSH 200,000 WEKA VIKAO 2 VYA DHARULA KWA MWAKA TSH200,000
JUMLA YA MWAKA KWA KILA DIWANI NIMILLIONI 5 NA LAKI 4
JE MADIWANI WANAKIINUA MGONGO BAADA YA UTUMISHI WA MIAKA MITANO?
NDIYO inaitwa GRATUITY
na formula hupayikanaji wake ni POSHO YA MWEZI ×MIEZI YOTE KIPINDI CHA UDIWANI=TOTAL UNACHUKUA ASILIMIA 30
KWA SASA
TSH 350,000 POSHO YA MWEZ×60 MIEZI=21,000,000
ASILIMIA 30% YA 21 MILLIONI NDIYO KIINUA MGONGO NACHO NI TSH MILLIONI 6,300,000/= (Millioni sita na laki tatu
wakati wabunge Ukichukua basic salary yao × miezi 60=Total unaicalculate kwa 30%
WAKALIPWA MILLIONI 100
Hawa wote tumechaguliwa kwa kazi ya kuwatumikia wananchi,lakini kufananisha maslahi ya madiwani na wengine ni kufananisha Mbingu na ardhi.
NANI WA KUOKOA MADIWANI TANZANIA?
Na
Senior Cancellor Ubungo
Mstahiki meya
Manispaa ya ubungo
Boniface Jacob