Recent content by PAMILA

  1. PAMILA

    Nisaidieni kwa wote waliooa na kuolewa

    Muhimu ni kujua hi yu o ndoto ikitimia inaenda kuwafanya imara pamoja au kiwatenganisha. Aidha, ni muhimu kuzungumza pamoja namna bora ya kutimiza ndoto husika. Mwisho never forget nafasi yako kama mke = kumtii mume
  2. PAMILA

    Kati ya Manyoni, Mpanda na Morogoro (Ifakara, Mvomero na Gairo) ipi sehemu ya kutoboa kimaisha?

    Nenda Mpanda kwa shughuli za Kilimo na biashara pazuri sana
  3. PAMILA

    Ulevi Unaninyima Amani. Ninaomba Msaada wenu

    Tafuta Post inayosema Jinsi ya kuacha pombe kwa kutumia jina la Yesu, kama utaifuata itakusaidia sana
  4. PAMILA

    Mikanganyiko katika Biblia ni kigezo kinachowapa watu uhalali wa kusema hakuna Mungu

    Sijaona mkanganyiko katika andiko lako; don't read a bible verse in isolation
  5. PAMILA

    Msaada lodge nzuri Musoma

    Asanteni sana wakuu
  6. PAMILA

    Msaada lodge nzuri Musoma

    Wanajukwaa naomba msaada wa Lodges nzuri za bajeti ya kati 25 to 30.
  7. PAMILA

    Msaada please, ukifanya malipo brela na maombi yakifutwa

    Nimefanya maombi ya kusajili kampuni kwa njia ya mtandao Online Registration System BRELA. Baada ya kupendekeza jina for name reservation, nilipata mrejesho kwa njia ya email kuwa jina limeshatumika, nikatuma lingine pia likawa limeshatumika. Mara ya Tatu nilipewa mrejesho kuwa, maombi yangu...
  8. PAMILA

    Naomba ushauri, eneo la mipango miji limepeita katikati ya kiwanja changu

    Wakuu naomba Ushauri. Nilinunua eneo mwaka Jana mwanzoni linalofikia nusu heka, square mita 1200 ! Mwaka huu mchoro wa mipango miji umetoka Mwezi February na katika mchoro huo eneo langu barabara imepita katikati ,kipande cha kulia kimeingizwa katika eneo la shule ya msingi na eneo la kushoto...
  9. PAMILA

    Jinsi ya ku calculate gharama za kodi pindi unapoagiza nje ya nchi

    Wakuu naomba mnisaidie namna ya kupata gharama halisi za kodi pindi ninapoagiza gari kutoka nje ya nchi. Pia je, tz unaweza kuingiza gari yenye miaka mingapi? Natanguliza shukrani
  10. PAMILA

    Mahali zilipo ofisi za Manispaa ya Ubungo na Kigamboni

    Wadau, Naomba msaada zilipo ofisi tajwa hapo juu. Asanteni
  11. PAMILA

    Utumishi wa umma ni mwajiri pekee mkombozi kwa watoto wa maskini Tanzania

    Niliwahi fanya interview mbili utumishi, majuzi wameniita kazini. Simfahamu mtu pale sikuwa na imani nao japo vigezo nilikuwa navyo. Baada ya kuitwa kazini, nimeamini utumishi ni fair employer. Mnaotafuta kazi kikubwa jiandaeni vizuri na interview ,pray to God InshAllah zamu yenu iko karibu...
Back
Top Bottom